The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Guys
Tusipoteze muda sana. Presidential candidates 2030 washajulikana mpaka muda huu.
Sasa itakuwa ni watanganyika kunyoa au kusuka aidha mpokee vipande vya pesa nchi iuzwe au mchague mtu atakayelinda maslahi ya nchi..
Candidates Wenyewe ndiyo hawa hapa.
1. Tundu Antipas Lissu (Singida)
2. Mwigulu Lameck Nchemba ( Singida)
3. Emmanuel John Nchimbi(Ruvuma)
Hapo kuna Rais wa Tanzania kwa hiyo mtachagua Wenyewe rushwa au uzalendo na muwe tayari kulipa gharama kwa chaguo lolote mtakalofanya, Maana kila jambo lina gharama zake.