Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 4,985
- 3,493
Nimeshiriki Uchaguzi tangu nilipotimiza miaka ya kupiga kura na mara zote nimekua nikichagua chama tawala CCM ingawa 2015 sikua apa nyumbani. Sababu zangu za kutoipigia ccm kura Uchaguzi wa Oktoba 2020 ni nyingi ila zenye nguvu zaidi ni tatu.
1.Utawala wa awamu ya tano kuto heshimu katiba ya nchi na utawala wa sheria pamoja na haki za raia wa nchi hii.
2.Kuwanyima wazee wetu akiwemo mzee wangu stahiki zao za kisheria na kikanuni baada ya kustaafu huku watawala wao wakichukua mapesa yao baada ya miaka mitano.
3.Kutunga sheria kandamizi dhidi ya vijana wanaorejesha mikopo ya elimu ya juu kwa kuongeza makato yaani aslimia na ile ya aslimia 6%kila mwaka wa fedha.
Ni ayo ambayo yatanifanya nisichague CCM mwaka huu sasa kazi kwenu wapinzani kunionyesha uwezo wenu ili niwape kura yangu.