kWA NINIkama hilo ni kwei ina maana haiwezekani mwaka 1969 kuwa alikuwa anaongoza matokeo ya mtihani wa mkoa!!
kWA NINIkama hilo ni kwei ina maana haiwezekani mwaka 1969 kuwa alikuwa anaongoza matokeo ya mtihani wa mkoa!!
kWA NINI
nAOMBA KUKILI KUWA MWAKA WA 1969 ILIKUWA BADO NI DARASA LA NANE NA SI LA SABA...ILIKUWA NI MWAKA 1979.MAKOSA YA UCHAPISHAJIKama anatimiza miaka 44 mwaka huu na 1969 alikuwa darasa la saba....Ina maana alikuwa darasa la saba (1969) akiwa na miaka 4...!!!
2009
-44
-------
1965
=====
1969
-1965
------
4
======
Kama anatimiza miaka 44 mwaka huu na 1969 alikuwa darasa la saba....Ina maana alikuwa darasa la saba (1969) akiwa na miaka 4...!!!
2009
-44
-------
1965
=====
1969
-1965
------
4
======
nAOMBA KUKILI KUWA MWAKA WA 1969 ILIKUWA BADO NI DARASA LA NANE NA SI LA SABA...ILIKUWA NI MWAKA 1979.MAKOSA YA UCHAPISHAJI
nAOMBA KUKILI KUWA MWAKA WA 1969 ILIKUWA BADO NI DARASA LA NANE NA SI LA SABA...ILIKUWA NI MWAKA 1979.MAKOSA YA UCHAPISHAJI
utakumbuka nilikwambia kuwa sikuwa na uhakika na mwaka 1955 mpaka niulize..na nilipo uliza nikapewa jibu kuwamwaka huu anatimiza miaka 44.ni wazi kuwa nilitoa jibu sahihi kwa njia tofauti....swali la mwezi na tarehe ni 16 september nakumbuka bt nina confirm mahalikwa hiyo alizaliwa 1965 badala ya 1955.. Tarehe gani na mwezi gani?
utakumbuka nilikwambia kuwa sikuwa na uhakika na mwaka 1955 mpaka niulize..na nilipo uliza nikapewa jibu kuwamwaka huu anatimiza miaka 44.ni wazi kuwa nilitoa jibu sahihi kwa njia tofauti....swali la mwezi na tarehe ni 16 september nakumbuka bt nina confirm mahali
hakuna mahali nimetaja hosptal aliozaliwa bali nimetaja ilikuwa ya misionary kijiji na kata...unaconfirm kitu kimoja moja kweli.. Una uhakika wa hospitali aliyozaliwa?
Nimeongea na Msimamizi wa uchaguzi Geita amekanusha habari hiyo, siyo kweli tena anasema wagombea wote ni halali na wanaendelea na kampeni. sasa fuatilia vyema vyanzo vyako. Inasemekana kwamba hali ya CCM ni mbaya zaidi sasa sijui huenda mbinu hiyo mpya wanataka kuitumia ili kuweka mambo sawa.
Kwa mujibu wa sheria ya uraia, mtu yoyote akizaliwa Tanzania na mmoja wa wazazi wake ni Mtanzania, anakuwa na birthright ya uraia wa Tanzania na hahitaji kuumba uraia huo bali pia anakuwa ana haki ya uraia wa baba yake.Duh..kumbe Tanzania mtoto hachukui uraia wa Mama (by default)..??!!
Kwa mujibu wa sheria ya uraia, mtu yoyote akizaliwa Tanzania na mmoja wa wazazi wake ni Mtanzania, anakuwa na birthright ya uraia wa Tanzania na hahitaji kuumba uraia huo bali pia anakuwa ana haki ya uraia wa baba yake.
Anapofikia umri wa miaka 18, anahaki ya kuukana uraia wake wa Tanzania ili kuuomba uraia wa Baba yeke.
Kitendo cha kufikisha miaka 18 bila kuukana Utanzania wake, basi huo ni uthibitisho wa Utanzania wake.