Uchaguzi CHASO SAUT unafanyika sasa

Nicholaus Kilunga

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
1,188
Reaction score
570
Wakuu nipo ndani sa ukumbi wa Bondeni ambapo kuna uchaguzi wa CHADEMA SAUT unaendelea sasa na mpaka sasa makamanda wanaendelea kunadi sera zao.wagombea wanaendelea kunadi sera zao ili wachaguliwe na kila nafasi unazaidi ya mgombea mmoja kasoro nafasi ya uhasibu.makamanda waliojitokeza ni wengi Sana kuwachagua viongozi wao wapya ili kuwapokea viongozi wanaomaliza mda wao ambapo kwa Bahati nzuri hâta mimi ni mmoja wa viongozi hao wanaomaliza mda wao.pia makamanda wamemtumia salamu za kumtakia ushindi mwema mgombea ubunge Jimbo la CHALINZE kamanda Tolongei pia wametoa wito kwa wananchi wa Jimbo la Chalinze wajiepushe na kuchagua uongozi wa kifamilia (BMW)yaani Baba-Mama na Watoto.
 
Mnashindwa kusoma mnafanya ujinaujinga tu hapo
 
Reactions: mk4
Wamwagia tindikali wapya hao

Baada ya kuona post yako, nimekaona nifanye research maana ya jina lako. Nikagundua kuwa ni lugha ya kigogo inayomaanisha taahira.
 
" TUWA ANDAE VIJANA WETU KUWA WAASI DHIDI YA MFUMO KANDAMIZI ." Mwl J. K Nyerere
 
Tuko pamoja kamanda hakuna kulala mpaka kieleweke.
Ipoooooooooooooooooooz!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…