Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 570
Wakuu nipo ndani sa ukumbi wa Bondeni ambapo kuna uchaguzi wa CHADEMA SAUT unaendelea sasa na mpaka sasa makamanda wanaendelea kunadi sera zao.wagombea wanaendelea kunadi sera zao ili wachaguliwe na kila nafasi unazaidi ya mgombea mmoja kasoro nafasi ya uhasibu.makamanda waliojitokeza ni wengi Sana kuwachagua viongozi wao wapya ili kuwapokea viongozi wanaomaliza mda wao ambapo kwa Bahati nzuri hâta mimi ni mmoja wa viongozi hao wanaomaliza mda wao.pia makamanda wamemtumia salamu za kumtakia ushindi mwema mgombea ubunge Jimbo la CHALINZE kamanda Tolongei pia wametoa wito kwa wananchi wa Jimbo la Chalinze wajiepushe na kuchagua uongozi wa kifamilia (BMW)yaani Baba-Mama na Watoto.