Uchaguzi CHASO SAUT unafanyika sasa

Uchaguzi CHASO SAUT unafanyika sasa

hivi wewe ni taahira? unatuletea uchaguzi wa viranja mashuleni kweli kwenye majukaa ya siasa. nadhani mods upo umuhimu wa kuwavarify ma-users wa hili jukwaa. sasa taahira huyu anatuletea uchaguzi wa viranja mashuleni. inakera sana.

Wakuu nipo ndani sa ukumbi wa Bondeni ambapo kuna uchaguzi wa CHADEMA SAUT unaendelea sasa na mpaka sasa makamanda wanaendelea kunadi sera zao.wagombea wanaendelea kunadi sera zao ili wachaguliwe na kila nafasi unazaidi ya mgombea mmoja kasoro nafasi ya uhasibu.makamanda waliojitokeza ni wengi Sana kuwachagua viongozi wao wapya ili kuwapokea viongozi wanaomaliza mda wao ambapo kwa Bahati nzuri hâta mimi ni mmoja wa viongozi hao wanaomaliza mda wao.pia makamanda wamemtumia salamu za kumtakia ushindi mwema mgombea ubunge Jimbo la CHALINZE kamanda Tolongei pia wametoa wito kwa wananchi wa Jimbo la Chalinze wajiepushe na kuchagua uongozi wa kifamilia (BMW)yaani Baba-Mama na Watoto.
 
Halafu nyie chadema hapa SAUT mnabore yan baada msome kazi makamanda hapo kwenye magazeti someni hacheni usenge umekuja kusoma sio siasa ngoja umalize shule ndio ukafanye kampen kwenu na kamanda anashika bunduki na kwenda porini kupigana na sio kusign boom la CCM na kupiga kelele
 
Kweli pua ya nguruwe haivarishi kidani
 
Back
Top Bottom