sasa watoto wakikaa nyuma wataona nini? Au ulitaka wakapande huo mti hapo nyuma. wanaccm ni wastaarabu bwana, wanajali watoto,ndio maana wamewekwa hapo mbele ili wafaidiCCM inawafanya watanzania kama vile watoto wadogo..,yaani vyakula.,pombe..,chumvi ndo mtaji wa CCM..,heb cheki hapo mbele ni watoto wadogo tuu waliojazana kuangalia hao Makomedi weo..!
Hakuna kitu..!

Huoni kuwa kama wameweza kuleta hao watu kwa malori , wataleta pia wapiga kura... kuweni makini hilo lawezekana!!!!
inawezekana CDM wakashida lakini pia wanaweza wakashindwa, swali ni JE MTAKUBALI MATOKEO, naona umeshaanza kutoa lawama hata uchaguzi haujaanza.ukweli ni kwamba cdm watashinda igunga endapo uchaguzi utakuwa huru na wa haki
jp vipi ! open ur eyes ndugu yangu. hivi kuna mtanzania anayetaka kusikia huo upupu wako! Shame on Uwatu waliofika katika mkutano wa CCM ni mara tatu ya CDM na picha walizotuletea katika magazeti ya bongo za chadema walichakachua, Waliweka picha za Arusha badala ya Igunga. igunga hakuna magorofa lakini picha za cdm zilikuwa na magorofa.
Yaani CCM kugawa kofia na kuuza kwa bei ndogo ni kusaidia ugumu wa maisha? duh! tuna safari ndefu.
Hongera mtumwa mwaminifu - Post 113 kwa siku mbili.Ameachana na siasa lakini hajaachana na CCM

Umeishiwa chakuandika kabisa?
Mtu mzima ovyo kabisa!!
Hapo punga linapigwa bila kunawa mwanangu!
watasema kama wanavyosema babu zao "Dakalabila Kumongo" yaani tulishanawa mtoni.

Mkuu, try to be transparent. ameona kwenye magazeti ya leo unataka asubiri tathmini gani?
Mkuu hii Picha ya wali ndio chambo ya CCM au? manake watu wanauwazia mpunga na sio maneno mbona kigodo hicho chakula