Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sure! Its true.Do people there know where Tanzania is going. No wonders they still neeed kofia and vitenge?
Mratibu wa kampeni za CCM katika uchaguzi mdogo wa Igunga Mh. Mwigulu Nchemba akiuhutubia umati wa wananchi leo uliofunja rekodi ya mkutano wa Slaa wa Chadema uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika kata ya Nkinga wilayani Igunga na kuhudhuriwa na idadi ndogo ya watu.
<br />TindiKali hatari sana hivi yule kijana mpenda amani anaendeleaje?
Heshima yako Fidivin,Siasa zetu sijui tutapona lini.
Vijana kama Aweda tayari wameishaingia kwenye mtego wa siasa za bla bla na uongo.
Magazeti nayo ndo hivo tena.
Naamini hizi habari zima mapungufu mengi na kwa mtu makini huwezi kuamini story kama hii kirahisi.
Huo sio unyanyasaji wa wanyama kweli?
<br />Teh teh teh Ahahahaha!! Magwanda baada ya kuona hali imeishakuwa ngumu Igunga yameamua kuanzisha thread ya kujiliwaza na kujifariji, Teh teh teh
Heshima yenu wakubwa,
Asubuhi hii nimesoma habari ya Nape Nnauye kupigwa biti na katibu mkuu wake Wilson Mkama ktk gazeti la Mwanahalisi kwa sababu ya kwenda Igunga kuhani msiba wa Kijana aliyegongwa gari ktk msafara wa CCM na kufa papo hapo huko Igunga.
Taarifa zinasema kitendo chake hicho kimeuwaudhi sana Rais JK na W. Mkama kwa madai kwamba kitendo hicho kinaweza kumuudhi Rostam na kusababisha uchaguzi Igunga kuharibika.
Taarifa zinaendelea kusema kuwa, sokomoko hili lilitua mpaka kwa katibu mkuu Wilson Mkama aliyemwuliza Nnape, Nanukuu gazeti,
Nnape kwanini ulienda Igunga? Ulikatazwa na kamati kuu usiende, sasa, kwanini umeenda Igunga? \
Nnape alijibu, Nilikwenda kuhani msiba.
Mkama; Nani amekutuma? Mkama alifoka? Nape hakuwa na jibu.
Gazeti lilimtafuta Nnape kwa simu na kumuuliza kuhusu sokomoko hilo naye akajibu,
Alfred (mwandishi), mimi sina la kujibu kuhusu hilo. Akauliza, Jamani mimi ni kijana mwenzenu, nimewakosea nini?
Mkama alipopigiwa simu kuhusu habari hiyo, kwanza alicheka ha ha ha ha. Kisha akasema, fahamu sisi hatufanyi kazi za kiutendaji kupitia magazetini. Isitoshe, si vema kuzungumzia mambo mazito kama haya magazetini. Nakwenda Zanzibar, nitarudi kesho kutwa( Jumatano) njoo ofisini tuzungumze. Alipoambiwa kuwa gazeti liko mbioni kuchapishwa, alijibu sawa, lakini kwanini usije ofisini?
In my view, Mkama hakukanusha kumpiga biti Nnaye, ina maanisha alifanya hivyo( This is my opinion).
Gazeti pia lilikumbusha kuwa Nnape amewahi kujigamba ktk mtandao wa kijamii ( Jamii forums) kuwa mliosema sitaenda Igunga, mbona nimetinga Igunga?
My take,
Nnape anajua alitendalo ndani ya CCM? Anaujua kweli msimamo wa JK?
Je, huku siko kushindwa kwa wazi kwa JK kwa hoja yake ya kuvuana magamba?
ningekuwa mimi bora kuomba nirudie ukuu wa wilaya wangu kuliko kazi hii kubwa kuliko umri..............Nape atakonda sana mwaka huu.
Je, huku siko kushindwa kwa wazi kwa JK kwa hoja yake ya kuvuana magamba?