Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,511
kweli eeeh!Upumbavu unayo bei...
TSHIRT, KHANGA NA KOFIA ZA RANGI YA KIJANI NA NJANO NDIO BEI YA UBOMBAVU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli eeeh!Upumbavu unayo bei...
TSHIRT, KHANGA NA KOFIA ZA RANGI YA KIJANI NA NJANO NDIO BEI YA UBOMBAVU
Upumbavu hauna bei!
Hivi ninyi watu wa CDM mnataka tu successful stories from CDM tu? Mbona mnakuwa kma sio wasomi? Msomi wa kweli ni yule anaetazama pande zote mbili, kusikiliza na kuchambua maoni ya pande zote mbili...
Wengi wenu mliochangia kwenye hii thread hamkuchukua hata dk 2 kuprove kama kuna ukweli katika taarifa hii badala yake mnakurupuka kuponda habari hii! mimi co wa CDM wala nini wala siko Igunga lakini nashangaa kila inapoletwa habari mbaya kuhusu CDM mnang'aka lakini ikiletwa habari mbaya kuhusu CCM na vyama vingine mnafurahia.
Hii inaonyesha wazi kuwa wengi wenu sio positive thinkers bali ni washabiki wa vyama vya siasa TENA Chadema!!!! Kwa bahati nzuri hatuombi tickets kuchangia mada hapa...so mtegemee critizism kutoka upande mwingine na sio habari ya kufurahisha CDM pekee!

Siasa zetu sijui tutapona lini.

Vijana kama Aweda tayari wameishaingia kwenye mtego wa siasa za bla bla na uongo.

Magazeti nayo ndo hivo tena.

Naamini hizi habari zima mapungufu mengi na kwa mtu makini huwezi kuamini story kama hii kirahisi.
Gazeti pia lilikumbusha kuwa Nnape amewahi kujigamba ktk mtandao wa kijamii ( Jamii forums) kuwa mliosema sitaenda Igunga, mbona nimetinga

Igunga

hapana mkuu aweda siku za ivi karibuni nape ajawai weka uzi ktk jukwaa zaidi ya kupita na kuchungulia akiwa nje ya uzio.hiyo habari ilitolewa kule kwa watoto facebuk anapobishana nao!uzi wenyew si unaona ulivyokaa kimipashomipasho.
Hivi ninyi watu wa CDM mnataka tu successful stories from CDM tu? Mbona mnakuwa kma sio wasomi? Msomi wa kweli ni yule anaetazama pande zote mbili, kusikiliza na kuchambua maoni ya pande zote mbili...wengi wenu mliochangia kwenye hii thread hamkuchukua hata dk 2 kuprove kama kuna ukweli katika taarifa hii badala yake mnakurupuka kuponda habari hii! mimi co wa CDM wala nini wala siko Igunga lakini nashangaa kila inapoletwa habari mbaya kuhusu CDM mnang'aka lakini ikiletwa habari mbaya kuhusu CCM na vyama vingine mnafurahia. Hii inaonyesha wazi kuwa wengi wenu sio positive thinkers bali ni washabiki wa vyama vya siasa TENA Chadema!!!! Kwa bahati nzuri hatuombi tickets kuchangia mada hapa...so mtegemee critizism kutoka upande mwingine na sio habari ya kufurahisha CDM pekee!

Ndio hadithi za kujiliwaza wana CDM. Kama ndio zinawapa raha endeleeni nazo tu. Ndio maana chama chenu kinagawa konyagi huko igunga, hizi stori zinaendana na tungi ile mbaya.
Nenda ka reply taarifa ya habari ya ITV ya jana utapata jibu.

Ikiwa ni takribani wiki moja baada ya vyama vya siasa vilivyosimamisha wagombea ubunge jimbo la Igunga, Mkoani Tabora kuanza kampeni zake.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeanza kuonja joto la kampeni baada ya wananchi wa jimbo hilo kuonyesha dhahiri kwamba ni bora kulipigia kura jiwe kuliko mgombea wa CDM, Joseph Kashindye, baadhi ya wana Igunga wakiwaambia wenzao CDM ni chama cha watu wa kaskazini sio cha wana Igunga CDM kila mwezi kinapata ruzuku milioni 300 niambieni hapa ni lini ofisi yenu ya wilaya imewahi kupatiwa fedha za kuendesha ofisi au hata kuwalipa posho viongozi wenu?

Kujitokeza kwa Rostam Azizi, gamba kuu la CCM, ndio limetibua kila kitu cha CDM mashabiki wa Magamba wamembana Dr Slaa, na Tindu Lissu, walete uthibitisho wa ufisadi wa Rostam Azizi waliosema pale viwanja vya Mwembe Yanga mwaka 2007.

Gamba kuu Rostam Azizi katibua matumaini yetu alisema kada mmoja wa CDM kutoka Moshi, kuna uwezekano mgombea wa CDM Joseph Kashindye, kugawana kura na wagombea wa AFP Staven Making na SAU john Maguna.

Jana CUF kwenye mkutano wao ndio wametibua kabisa kila kitu kutoka hali ni ngumu alisema mwana CDM aliepo hapa Igunga akitokea Kilimanjaro
Niliona wamepewa wali na maharage nadhani ndio kinachowasumbua hawa watu...
Ina maana Nape anatumia Nauli yake kufanya kazi ya CCM?
kama alitumia hela ya chama kwa nini? ccm wasimwajibishe Nape kwa matumizi mabaya ya pesa na mali za chama?
kwa maana hiyo safari sio ya chama kwa nini alitumia pesa ya chama?
hawa jamaa ndio maana tunaibiwa pesa hata za serikali kwa safari zisizo na msingi ni wazembe sana
wawape hii kesi polisi wambambike makosa kama mia kwenye ili suhala