Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.

Wewe unadhani sisi tunalipwa kama wewe! na kwa taalifa yako wengi wetu humu si wanachama wa cdm!
hao unaowaita wasomi ndo waliotufikisha hapa!

lakini ni tangu kitambo nilisikia habari za yeye Nape kutoruhusiwa kwenda huko,sasa kama amekwenda labda ana lake jambo,lakini nadhani ndivyo system zao zinavyo kwenda

<br /
Je nape alikuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni za ccm pale Igunga?

Nali, hivi hujui kuwa watu sasa wamechoka kuonewa, kunyanyaswa, kufukarishwa, kudumu ktk umasikini unaoongezeka kila mwaka, kuona nchi yao ikiuzwa, maliasili kuporwa mchana na usiku? Sasa watu wanahitaji mapinduzi, wanahitaji mkombozi atakayewatoa kwenye makucha ya kunyonywa na kufukarishwa. Mkombozi huyo wamemwona, na ukimsema vibaya wanaweza kukurarua.

Nakushauri ungoje huyo mkombozi ajidhihirishe kuwa si mali kitu, hapo hutahitaji kuwaambia tena bali wao watamsusa. Lakini kama CDM ataendelea kujionesha kama alivyo sasa, hakika yake hayupo atakayewazuia hawa watu kuacha kumshangilia. Usishangae kuwa wanaomshangilia CDM ni watu wa CDM, CCM, vyama vingine na wasiokuwa na chama kama wewe.

Waache watu waliochoka na mfumo fisadi wachague mkombozi wao ili wajiponye.

Ndio hadithi za kujiliwaza wana CDM. Kama ndio zinawapa raha endeleeni nazo tu. Ndio maana chama chenu kinagawa konyagi huko igunga, hizi stori zinaendana na tungi ile mbaya.

tatizo si lako umekurupuka na kumshka nyoka kiunoni sasa ujui kichwa ki wapi ukishapata madhara ndo utajifunza ponda kichwa cha nyoka.

Bw. Henge, Mim silipwi nina ujira wangu na biashara zangu kaka.....pia mim sio mshabiki KAMA wewe! Na kama kweli wewe na wengine ni wachambuzi, wazalendo na watenda haki, kwanini mkurupuke kabla hamkufanya tafiti km habari hii ni ya kweli? Mbona wahukumu juu juu? Thread hii ingesema CCM hoi taaban Igunga, naamin ww na wenzako mngepongeza na mngesema NABADO......! Kwetu sisi watazamaji CDM wana hoja sana kwa sababu CCM imepwaya kwa mengi Lakini namna CDM inavyo drive towards kwenye hoja za msingi ina kila sababu ya kutiliwa mashaka makubwa.....Hata uchangiaji wenu nyinyi wana CDM hauna tofauti na kiiu-CDM...(Mmekosa busara katika kuwasilisha hoja zenu) Nihitimishe kwa kusema kuwa kwa mwenendo wenu...HAMTOFIKA POPOTE MTAZIDIWA AIDHA NA CCM YENYEWE AU VYAMA VINGINE VITAKAVYO SOMA WEAKNESS YENU NA KUJENGA HOJA YA MSINGI YA KUWASILISHA MAMBO MTAKAYOSHINDWA KUTOKANA NA JAZBA ZENU!!!! YETU MACHO!!!

ninachompendea... alishajiandaa kwa matusi... yaani ye anapita kugawa senks kutokana na jinsi mtu alivyovurumisha tusi lake... ... .. MAGAMBA wamejipanga yaani wanalipia watu jero za cafe ili waje waandike madudu yao hapa.... hahahah tena anasisitiza hao aliowahoji wametokea kilimanjaro. hahah

hata wana igunga hawakusikii

Niliona wamepewa wali na maharage nadhani ndio kinachowasumbua hawa watu...

halafu yale maharage nawasiwasi yalikuwa hayajaiva... maana naona MAGAMBA wote waliadimika humu matumbo yalikuwa yanawaendesha...

anyway na ww UPO mama sijakuona mda.. au ulikodishwa na MAGAMBA katika kuweka mambo sawa.........

MAGAMBA ndo zao hizo.Hebu fikiria haya maviwavi yana nini cha kuwaahidi au kujivunia kwa wananchi? miaka 50 wamefanya nini?Wakisimama mbele ya wananchi watawambia nini jipya.Sasa kilichobaki ni unafiki,uongo uzushi na siasa za majitaka.Wameona igunga haikaliki hawana mvuto kwa wana igunga sasa wameanza kuweweseka.Na bado huo ni mwanzo tuu!!!

anawakomesha nyie mnaomshambulia kuwa hawez kwenda igunga
kumbe hajatumwa?????????? sasaaa hawa jamaa wa ccm
wanafanya kazi kwa mtindo gani?au kila mtu anakurupuka tuuu ina maana hawana kazi maalum khaaaaa kodi zetu jamani
nabata ushungu

Nape kazi unayo mwaka huu........simamia unachokiamini husiwe ndumila kuwili!!

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…