Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.

Hapo kwenye red! Shule ya Kata hiyo na kuwaza kwako ni ki-Kata Kata vile!! Pole sana. Kama Igunga watu hawajaamka tutawashangaa!

JF bana raha sana majibu ni pao kwa papo!!!!!!!!

duh!!!!!!!! watu ni viatu kwa kweli. nimepitia coment zote, nawashukuru kwa michango yenu.

Wana JF, lisemwalo lipo, kama halipo linakuja-ni usemi wa wahenga. Taarifa iliyotolewa na mtoa mada ya kiintelijensia, c intelijensia ya MWEMA inayohitaji kuvuruga amani, Ni intellijensia ya mwana jamii, tena mwenye uchungu na jamii yake.

Kuwahusu TAKUKURU, DED, OCD na NMB-Manager, taarifa hizo zisipuuzwe hata kidogo. Anayeona ni Uzushi, anapaswa kujiridhisha kuona kuwa hayo hayajatendeka. Ikumbukwe tu kwamba, serikali yetu ndiyo msimamizi wa hayo yote yaliyotajwa. viongozi waandamizi wanachaguliwa kisiasa zaidi, na ikiwa unaonekana kutokuwa na mapenzi na CCM, basi lazima utafukuzwa, utahamishwa au utapokonywa madaraka.

Mifanop ipo mingi, Miji mingi ambayo upinzani umeshika hatamu, tayari viongozi wake hasa wa jeshio la polisi wamehamishwa kwani CCM inaamini walishindwa kwa kuwa viongozi hao hawakubariki wizi wa kura.

Ukija Mwanza, utaambiwa hali iliyokuwepo na Jinsi kamanda sirro alivyosimamia haki.
Ukienda Kinondoni, Utamkuta kamanda Kalinga, alivyosimamia haki.

Hivyo mi sishangai kabisa. Na tunapoelekea kubadilisha katiba yetu, tuhakikishe watendaji wakuu hawachaguliwi na RAIS, WAZIRI TAMISEMI/WAZIRI MKUU wala viongozi wa Polisi, Majeshi kunoga na majeshi mengi, wasipatikane kupitia kwa waziri, wala katibu na upuuzi wao. Hao ndio wanaotuharibia nchi na suala zima la uwajibikaji, kwani mwisho wa siku viongozi hao hawawajibiki kwa wananchi kama katiba inavyosema, bali huwajibika kwa viongozi waliowateua.

Hii ni hatari kwa ustawi wa jamii yetu, na CHADEMA, ongezeni umakini kuhakikisha mgombea huyo haenguliwi. Tunawaamini, mnaweza, simameni imara. watanzania tuko nyuma yenu.

Wote tusimame kulinda haki za kiraia, na polisi, walimu watakaohusika kusimamia uchaguzi, mjiulize mnaambiwa kukiuka taratibu kwa maslahi ya nani?
wote tukifikiria hapo hakuna kuilinda CCM, kwani maslahi duni tuyapatayo, ni matokeo ya serikali dhalimu ya ccm.

Nawasilisha tafadhali

Kwa KWELI CCM hawana jipya hivi kati ya wote mnadhani ni Mkapa tu ndio anaweza kuwasaidia ktk kampeni ili mshinde, mnajidanganya Mkapa akija hapa Igunga aje na majibu NET GROUP Aliileta kwa maslahi ya nani kwani ndio hiyo iliyoufikisha hapa ni Yeye alieingiza kwa mtutu wa FFU na Polisi Tanesco,hajatueleza Watanzania KIWILA aliinunua kwa misingi gani na kwanini aliamua kuigeuza IKULU sehemu ya Biashara zake, Anna Mkapa na Basil.

vinginevyo kila sikuiendayo kwa mungu CCM Hamtakuwa na Mtu wa kuongea akasilizwa mbele ya Wtz.fanyeni mbinu zenu zote at the End
PEOPLE POWEEEEEEEEEEEEEEER WILL WIN.

tatizo hili linatakiwa kutatuliwa na wapiga kura wa igunga. Wao kama watakubali kupokea hizo elfu tano na kumi na kuipigia ccm kura wajuwe itakula kwao.

Inabidi wafanye maamuzi magumu. Kwanza rostam mwenyewe aliwaambia ccm inaendesha siasa uchwara. Kama walikuwa wanamwamini rostam kwa muda mrefu basi wanatakiwa kuamini pia maneno yake na kuachana na siasa uchwara.

wewe ni pimbi wa mawazo yani akili yako bado inafikiri mambo ya enzi ya chama kimoja,CDM watashinda na utabaki na umbumbumbu wako wa mawazo mgando

ushauri wangu ni chadema kuwa makini afu kaka unausika kutoa hayo mambo kwenye kampeni jitokeze jimbo liende chadema...

PHP:
"CHADEMA ikishinda Igunga nahamia Zanzibar.["/PHP][/I][/B]

[COLOR=#0000FF][B][FONT=comic sans ms]EE NDIO! UENDE HUKO KWA WENZAKO WALIOFUNGA NDOA NA KAFU[/FONT][/B][/COLOR]

Feed back, mawazo yako hayatofautiana sana na avatar yako, kama huna la kuchangia si ukae kimya, halafu hata kusoma katikati ya mistari huwezi.....pia amesema NMB sio NBC...

CDM muda wote huwa nawaamini, hawana cha kukwamisha zaidi ya kukaa chini na kuliachia jimbo kiurahisi. JK kalipoteza hili jimbo tena asubuhi,
namuomba tuu JK aendelee na utalii wake nchi za nje na asifikilie kuhusu Igunga.

PEOPLE'S POWER!

Na hizikaulimbiuzenu ccm mnatuchefua kwakweli ( mmethubutu mmeweza mnasonga mbele) kweli mnasongambele kutuweka gizani?

Naomba muwe makini tu kama tulivyofanya kwa Masha pale Nyamagana-Mwanza. mambo yalikuwa tyt lakn mwisho wa siku kilieleweka

wewe ni pimbi wa mawazo yani akili yako bado inafikiri mambo ya enzi ya chama kimoja,CDM watashinda na utabaki na umbumbumbu wako wa mawazo mgando

cdm wakishnda igunga narudisha digirii yangu kw mkandala...watanzania wamewachoka kila chaguz wakishndwa utasikia tumeibiwa, swali dogo-mnakuwaga wapi wakati mnaibiwa? acheni kuchezea akili za watu, pimbi nyie...

cdm wakishnda igunga narudisha digirii yangu kw mkandala...watanzania wamewachoka kila chaguz wakishndwa utasikia tumeibiwa, swali dogo-mnakuwaga wapi wakati mnaibiwa? acheni kuchezea akili za watu, pimbi nyie...
Utaungana na mwezako Zomba yeye anahamia Zanzibar. Labda mfuatane baada ya kukabidhi digrii yako.

Kwanini Mkapa badala ya mwenyekigoda wa chama? Anaogopa ataumbuka?

mkapa anakwenda kutetea chama chake acheni ubwege...au mnadhani yy ni cdm...sisiem ina watu kibao sio kama cdm member wa kuhesabika....afu jk status yke kubwa as the president hawezi kwnda kwnda tu kama slaa....subirini mgalagazwa alafu mje jamvini hapa eti mumeibiwa...acheni umasikini wa mawazo....

Mkapa kama amekubali kwenda kufanya kazi hiyo basi anakwenda kujivunjia Heshima kwa sababu atashushiwa Makombora tu,Heri alivyokaa Kimya!!

He truly needs to think twice,tuna maeneo Lukuki ya kumbomoa!!

Mboni nyie cdm uzinduzi wenu mnazinduliwa na m2 we2 zito zuberi mwana wa kabwe ha2chemi...tehtehteh mmekwisha bila kujitambua...zito lazima awavuruge wachaga na uchagarism wenu...atakuwa anajifanya kama mpo nae vile...kudadadeki cdm kitu gani ba

kifupi unataka mtu asiyejua matatizo ya watu wa igunga ili asiyatafutie suluhu. Jionee aibu. Bunge ni sehemu ya kujadili matatizo yanayowakabili wananchi na tunapeleka watu wanayoyajua ili watafute ufumbuzi.

Akili za kudumaza jamii ipotezee kaka unakua na kama huna akili ya kuja unachosema familia yako itateseka. Jipange tafuta njia ya kuwasilisha maoni yako humu Kiusahihi

Jamani wana jf chadema ya 2011 siyo ile ya 2005. Chadema ina mizizi mikubwa na tayari chadema imeingia kwenye damu za watu sasa inabidi ifike mahali rtuondoe hufu na mashaka kwani tunaweza na cha msigi zaidi ni kwamba kura za igunga zitalindwa na wanaigunga peke yao kama ilivyokua arusha wananchi walisimama kutetea kura zao wenyewe hatimaye mwizin akaumbuka kila kada wa cdm ni kamanda na sio wale makamanda feki wa green guard kwahiyo ndugu zagu wa jf hatma ya igunga iko mikononi mwa wanaigunga na wana cdm watalinda kura zao wenyewe iwapo dola itashindwa kutenda kazi yake

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…