Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

sijui anawaza nini maskini ya mungu

ni kweli cuf wameolewa.naona kichwa ccm.mia
Picha hii inazungumza mengi maana naona kijana kavaa T shirt ya CCM, dume la ng'ombe kavikwa kofia ya CCM yenye picha ya Shein, hali bendera ya CUF ikibebwa juu ya Mkokoteni kuwapa kivuli, mchuuzi akiuza khanga za CCM - ama kweli sherehe za harusi zilifana..Kuna ujumbe mzito sana kwenye hyo picha Mkuu.Hilo li dume lililovaa gwande(lenye rangi ya gwanda) Kwanza linawabeba(japo hawabebeki) hao wanandoa wawili,lakini kwa upande mwingine ni ushahidi tosha kwamba CHADEMA ina kazi kubwa mbele ya safari.Ni sawa na stori flani inayoeleza kuwa ukioa mwanamke anayetokea kwenye nchi flani ya jirani, anamleta mwanaume wa kikwao aje kuzaa naye ,huku akijifanya ni nduguye na ww kazi yako ni kutunza familia isiyo damu yako-CCM+CUF=NO USTAWI WA KWELI

wewe una lako jambo.tunashukuru kuichukia ccm.kwetu cc an enemy is a motive force.we nid as many as pocble enemies ili wawe dira yetu.chek sahv tunavua gamba coz of u hu hates us.keep on put us at th top!CCM , ni mbwa mtu. wanajifanya kondoo kumbe ndani kwao dog tu.

Igunga haikuwahi kuwa na gari la maji ya kuwasha, lakini kwa vile CCM wanataka ushindi si kwa sera bali kwa vitisho na dhuluma. Tayari wamepeleka gari la maji ya kuwasha huko igunga, na limekuwa likipitishwa mitaani ili kuwaogofya wananchi wasisimame katika haki. hali hii inatisha kabisa.

Ninachowaasa wananchi wa Igunga, wasiwe na shaka, wapige kura kwa utulivu ili CCM wakose sababu.

NAWACHUKIA CCM