mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 188
Kweli nimeamini hali ni mbaya sana kwa CUF wanpaste picha za Pemba na kutuambia hapo ni Igunga acheni hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Kuna JAIRO junior yuko kule anasaidiwa na Takukuru pamoja na polisi kusambaza bahasha, Lakini wajuwe kwamba nguvu ya umma ni mwisho wa matatizo.

Kuna JAIRO junior yuko kule anasaidiwa na Takukuru pamoja na polisi kusambaza bahasha, Lakini wajuwe kwamba nguvu ya umma ni mwisho wa matatizo.

Akumbuke kubeba pampers za akiba maana Igunga hakuna.
labda kwa nguvu ya umma, lakini sio kwenye sanduku la kura!!!!!!!!!!!!Ndiye rais wetu 2015 piga ua.
Inategemea una silaha gani nikiwa na AK 47 naweza kuzuia watu mia wasipite.CHADEMA wamefungua radio inaitwa WAPO? Inawezekanaje watu twice as much wazuiliwe na watu wachache? Hapa kuna walakini!

hao wanyama kwa mateso wanayoyapata kwa kamba zilizopitishwa puani ni taswira ya mateso ya Watanzania hata baada ya miaka hamsini ya Uhuru.Sina shaka masabuli yako tayari yamechanwa na magamba.

wakiongozwa na katibu mkuu wa chama hicho Seif Sharif Hamad wakiwa na magari zaidi ya 30 na pikipiki zaidi 100 na umati wa watu waliotembea kwa miguu, huu ni mwanzo wa kuashiria kuanza kwa kampeni hapo kesho.

Leo igunga imezizima japo police walimwagwa kila kona lakini wanainchi wamejitokeza, kweli wanainchi wanataka mabadiliko, macho na masikio yetu tunasubiri hapo tarehe 2/10/2011 tuone ni nana atakaye nyakua kiti hicho.

hongereni magari na pikipiki kwa idadi hiyo nazo vitapiga picha?
Mtoaji wa habari ni mgeni ambaye nipo hapa igunga kwa shughuli ya kikazi