Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Mimi, kama 'President Elect', niko tayari kuvaa gwanda endapo CHADEMA kitafanikiwa kushinda uchaguzi mdogo, jimbo la Igunga.

Hii ni changamoto kwa CHADEMA na wapambe wao hapa JF, ambao macho na masikio yao yanafuatilia uchaguzi wa Igunga.

Jimbo la Igunga ni karata dume, ambayo CCM wanayo mikononi mwao. Kazi kwenu CHADEMA kuwapokonya, na kama mtafanikiwa, basi na mimi nitavaa gwanda, kama ilivyo kwa mh. Freeman Mbowe au mh. Zitto Kabwe. Nasema tena, kazi kwenu CHADEMA!
hahahahahahaha!huyu kweli masaburi na anatumia masaburi kuthink!gwanda hazitolewi ovyomasaburi yako
Hawa chadema kweli vilaza!Jana nilipita Kahama.Ulikuwepo mkutano wa hadhara wa CDM. Moja ya strategy za ushindi zilizopendekezwa mkutanoni ni kutumia madiwani wa CDM toka mikoa ya Singida na Tabora kama mawakala ili kudhibiti rushwa wakati wa kusimamia na kuhesabu kura.
Khe khe hahaha..We kilaza kuwa CHADEMA siyo kuvaa gwanda. Funguka....
masaburi yako
Who cares? ukitaka baki huko huko uliko. We don't mind!