Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.

Wasanii tu nyie na magwanda yenu kampuni ya Edwin Mtei ndio ikomboe Watanzania? CDM ni kampuni ya Mtei

yale magwanda yana maana yake ya kutafuta ukombozi, inavyoonesha we unataka uvae upigie picha, wrong interpretation. Ila si kosa lako nikwasababu unatumia masaburi kufikiri,tena we utakuwa na undugu na silinde.

Habari zilizoenea Igunga zinasema wana CCM wengi hawajapendezwa na mgombea kutoka Dar.

Huwezi kupewa 'gwanda' until you prove beyond reasonable dought that you are one of us!

shibuda aliprove nn..mbona hamumfukuzi.?!mnaenda kuwatimua madiwani...zitto aliwazingua bado mkamgwaya..hata huyo padri wenu akiingia ikulu hakuna chochote atakachofanya zaid ya kutaka sifa za kupeleka watu mahakamani...pumba tupu 2015 hamshindi ng'oo na magwanda yenu ya mgambo hayo

CDM watashinda maana gamba haling'olewi kwa njia hiyo unayofikiria Igunga watashinda tena kwa kishindo

Labda ungetembea uchi ndo kingekuwa kitu kipya fanya utembee naked Mtaa mzima.

Ndugu unatahadharishwa hii hulka ya kujitoleatolea vijiahadi kusiko na misingi ya kueleweka wazi. Angalia sana usije ukatoa ahadi za bei chee kiasi hicho kwa watu wa aina yako wamewahi kukosa mke hivi hivi kwa mizaha aina hii hii hapo nyuma kidogo.

ka
kojoe ulale mtoto wa mama!

Sidhani kama CHADEMA inahitaji watu kama ninyi,watu wanaosubiri kishinde uchaguzi ndio wajiunge nacho....bakia huko huko CCM maana unapenda kuwa huko.....HATUKUTAKI CDM KABISAAAAAA...........

President Elect yaani unataka kutuambia kuwa kitakachokupeleka CDM ni wao kushinda ubunge tu? Mimi nilidhani "senior great thinker" kama wewe anatakiwa kuwa na mambo ya msingi zaidi yanayomwongoza kufanya uamuzi wa muhimu kama kujiunga na chama cha siasa.

Kwa mtazamo wangu ushindi wa chama kwenye jimbo moja siyo jambo la msingi sana. Ningetarajia uzingatie itikadi, sera, na mwelekeo wa chama cha CHADEMA kuliko suala la ama kimeshinda au kushindwa uchaguzi mmoja.

me nilijua wewe ni Nape, Mkama au Chiligati kumbe ni mlugaruga unaishi kwa kuwasifu magamba kila kuki kucha, uvae suivae huna madhara hata kidogo

Mimi hata kwa bunduki sivai ujinga ule wa manguo ya mgambo sijui nani aligundua yale manguo!

Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliyavaa sana wakati anatafuta uhuru wa Tanganyika na hata baada ya uhuru aliendelea kuyavaa kwenye shughuli mbalimbali za ujenzi wa Taifa kama kilimo.

Nakumbuka hata wakati wa vita ya Kagera alikuwa akiyavaa magwanda hayo. Kwa hapa nchini yeye ndiye muanzilishi wa uvaaji wa magwanda kwenye shughuli za kisiasa kama sikosei. Kuhusu hawa jamaa wa CHADEMA sijui nani alianzisha uvaaji wa magwanda ya khaki lakini mimi naona alitumia akili sana kufanya hivyo. Kwa mtazamo wangu Magwanda yanawakilisha vita ya uhuru wa pili wa Mtanganyika dhidi ya ukoloni mamboleo ambao ni mbaya zaidi ya ukoloni mkongwe ulioondolewa na akina Nyerere.

Ukoloni mamboleo ni mbaya zaidi kwa sababu unasimamiwa na ndugu zetu tunaowapigia kura sisi wenyewe tukidhani kuwa ni wawakilishi wa maslahi yetu kumbe wanatumiwa tu kuhamisha maliasili kwenda ulaya, uchina na uarabuni kwa wale waliokuwa vinara wa ukoloni mkongwe.

Wasanii tu nyie na magwanda yenu kampuni ya Edwin Mtei ndio ikomboe Watanzania? CDM ni kampuni ya Mtei

Wacha kujipachika majina ya watu wewe, John Marwa ni mtu mwenye uchungu na nchi hii. Kuwa kwenye kampuni ya Mtei au la halituondolei shida tulizo nazo Tanzania, fikiri ndugu yangu jinsi ya kuikomboa nchii hii mikononi mwa mafisadi.

Mtei sio fisadi ana uchungu na nchii inayofirisiwa na jamaa zako maghamba's!!

Hivi unatumia nini vile kufikiri?

Hata usipovaa haiwasadii chochote Chadema!

Nimepitia maoni ya wachangiaji wote, ndugu yangu 'Mnyakatari' unapaswa kujumuishwa kwenye timu ya kampeni ya CDM huko Igunga. Una uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja, pia una ubunifu wenye mashiko. Hongera 'Mnyakatari'.

Ahadi yangu niliyoitoa ni changamoto kubwa kwenu CHADEMA. Msishangae CUF ikawatoa kamasi kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi Igunga, achilia mbali CCM.

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…