Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.

Mkuu,hawa jamaa wanaudhi sana,ni kweli umaarufu wao umepungua sana ukilinganisha na awali walipokuwa wanaichallenge serikali ktk mambo mengi ya msingi. Pia watu waliohudhuria ukiacha matangazo(ya nguvu) ya takribani wiki mbili pia yamechangiwa na umbumbumbu wa watu kushobokea komedi ambayo kwa waelewa ishapoteza umakini wake. Lets wait an see. Hapa mtu anaenda kuona komedi akisukumwa pia na alichopewa, mikutano ya CDM watu wanaenda voluntarily kusikiliza hoja thats the different
 
Siasa ni kama BANGI/UNGA! Teja linatambua madhara ya bangi/unga linatangaza kuachana nayo, wiki moja baadaye hilo linabugia!! Lakini pia kumbuka kuwa Jemadari Dr RA hawezi ku-survive katika biashara yake bila kinga ya ccmagamba!!
 
"Mkapa hawezi kukubali kudhalilishwa".By any means necessary Si Si Em lazima ishinde.

Kama ushindi wa chama pinzani ni kudhalilishwa basi Mkapa alishazalilishwa Temeke tena akiwa raisi aliye madarakani.
 
Hivi CCM na uzoefu wake wa siasa za bongo, kuunda serikali itaacha lini hii tactic iliyobuniwa na Mrema miaka ile ya watu kurudisha kadi za vyama vingine??????????????? How does that show kwamba wanakubalika mahali??????? Tuliona maelfu ya kadi za CDM zikirudishwa in 2010 kwenye mikutano ya kampeni Arusha, Karatu. Tena kwa prezidaa........what happened after nadhani wote tunafahamu!!!!!!!!!!
 
Rostam hayupo hapo kwenye kampeni kwa kupenda,huyo atakua amelazimishwa kufanya kampeni,nadhani atakua ameambiwa ahakikishe ngombea wa ccm anashinda. Hiyo ndiyo ccm na serikali yake ilivyo.Angekataa ingembidi bishra zake zote zifungwe na yeye akimbie nchi.
 
Ni kawaida ya viumbe wa aina ya mwita25 kuchangia hicho anachochangia lakini ukweli unabaki na utaendelea kuwa hivyo kwamba KWA KUREJEA JUKWAANI KWENYE SIASA HIZO HIZO ZILIZODAIWA KUWA NI UCHWARA, ROSTAM AMELAMBA MATAPISHI YAKE MWENYEWE. Ni jambo la aibu tena aibu isiyo kifani lakini kwa tabia ya nchi hii, hilo nalo litapita tu. Mmmhhhhh, mpaka najisikia kichefuchefu, ptuuuuuuuuuu!!
 
Mkuu mwaga makablasha hayo. Hatuwezi kuchambua maneno matupu mkuu
 
Mkono mtupu haulambwi. We mwaga tuu. JF we dare talk openly.
 
mimi kama mzawa wa kilimanjaro niliyekulia arusha, nawalaani wale vijana waliokua wamebeba bango wakikashifu kua vurugu zao wakafanyie arusha na kilimanjaro,,,, how could someone dare speak something like that to the public???? That is sooo insane,,, walaaniwe na vizazi vyao vyooote milele,, yani nimeshindwa hata kuongea, presha imepanda
 

hizo ndiyo siasa,nakuomba ushushe presha mkuu
 
Hii ndo tanzania leo unasema hili na kesho unasema walininukuu vibaya,siku zinaenda.
 

Mie ndo kabisa, nasubiri mwaka ccm watakavyokuja Kilimanjaro kuomba kura ndo tuwahoji ilikuwaje?
 
Kuona ni kuamini kaka,naomba vielelezo ili nichangie.weka mambo hadharani.
 
Ama kweli ameonesha dharau ya hali ya juu,muangalie huyo atawagongea wake zenu na hapo ameonesha yupo kimapenzi zaidi na si kiungozi
 
hizo ndiyo siasa,nakuomba ushushe presha mkuu
<br />
<br />
mkuu, yani wewe acha tu, presha haishuki, ngoja niende kanisani, nikajiombee presha ishuke, na nikawaombee hao walioandika hivyo ili waweze kutambua makosa yao na kujirekebisha,,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…