<br />Kwa maana hiyo yuko Igunga kufanya siasa (uchwara) sio?
Kafumu ametumia busara sana atleast kuwafanya wapiga kura wote wawe wake zake. Kuna kaubinadamu hapo japo kawadhalilisha. CCM huwa wanawafanya wapigakura kama comodities.
Wewe ni Rostam au una uhusiano gani nae mpaka utoe ufafanuzi kwa ishu za ndani kabisa ambazo hata mke wake hajui? Nimesema hapa JF mara nyingi na naendelea kusema kuna watu ni watumwa wa hawa viongozi wa CCM na huyu kilaza Mwita25 ni moja wa hao....Rostam atakutumia mpaka uchake ndio utagundua kuwa siasa za CCM ni laana.....
<br />Na hii vipi???<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=36987&stc=1" attachmentid="36987" alt="" id="vbattach_36987" class="previewthumb" />
Cjui ni lini CCM itaacha kutumia watoto katika kampeni zao.?Mbona ni watoto hapo pichani?
Nimeangalia kura za maoni kwa jimbo la Igunga kwenye site ya mwanahalisi, ingawa kura hizi hupiwa na Watanzania wote lakini pia inawapa taswira hawa wanaojiita wamiliki wa nchi (CCM) jinsi waTZ walivyochoshwa na Uzemba na udhalimu wao.
Kwa leo: 11/09/2011
Maggid Mjengwa Blog
Joseph Kashindye (Chadema)) 270 (73%)
Leopard Mahona (CUF) 26 (7%)
Dr Peter Kafumu (CCM) 72 (19%)
Votes so far: 368
Mwanahalisi
Leopold Mahona (CUF) 4%
Joseph Kashindye (CHADEMA) 89%
Peter Kafumu (CCM) 5%
Said Makeni (DP) 1%
Lazaro Ndageya (UMD) 0%
John Maguma (SAU) 1%
Total votes: 305
Kwa matokeo zaidi bofya hapa: Gazeti la MwanaHalisi
RAI
CCM (42%, 180 Votes)
Chadema (29%, 122 Votes)
CUF (28%, 121 Votes)
UDP (0%, 2 Votes)
SAU (1%, 1 Votes)
Total Voters: 426
Hizo ni baadhi ya picha ambazo zimepatikana leo katika uzinduzi wa kampeni za chama cha CCM jimboni Igunga.
View attachment 36963
Rais Mstaafu Ndg Benjamini Mkapa akimnadi mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM Ndg Dr. Kafum.
View attachment 36965
Sehemu ya umati uliohudhuria mkutano huo.
View attachment 36966
Kama kawaida wasanii wa Original Komedi walikuwepo kusherekesha uinduzi huo.
View attachment 36967
Baadhi ya vijana wakirudisha kadi za CDM baada ya Mkapa kumwaga sumu.
View attachment 36968
Katibu mkuu Ndg Willson Mkama anaonekana akisisitza jambo katika uzinduzi huo. Awali ilidhaniwa asingehudhuria.
View attachment 36969
Hapo awali ilidhaniwa Rostam asingehudhuria uzinduzi wa kampeni za kumtafuta mrithi wake, swali sijui siasa uchwara zilizomuondoa amezisamehe.
View attachment 36970
Rostam na Mkama wakionekana wakifuatilia kwa umakini uzinduzi huo, siasa kazi kweli kweli.
View attachment 36971
Bango hili mmmm utalisemea mwenyewe.