Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Kafumu ametumia busara sana atleast kuwafanya wapiga kura wote wawe wake zake. Kuna kaubinadamu hapo japo kawadhalilisha. CCM huwa wanawafanya wapigakura kama comodities.

Umenena mkuu CCM inawafanya Wadanganyika kama Nyanya Masalo bana yaani inatia kichefuchefu we tazama tu jinsi inavyo wasombelea kuwaleta kwenye mikutano yake kama vile ng,ombe wa mnadani na huu ndiyo mtaji wao kamwe hawawezi kuboresha mfumo wa elimu wa chochote kile ili wazidi kuwanyonya wadanganyika.
 
Wewe ni Rostam au una uhusiano gani nae mpaka utoe ufafanuzi kwa ishu za ndani kabisa ambazo hata mke wake hajui? Nimesema hapa JF mara nyingi na naendelea kusema kuna watu ni watumwa wa hawa viongozi wa CCM na huyu kilaza Mwita25 ni moja wa hao....Rostam atakutumia mpaka uchake ndio utagundua kuwa siasa za CCM ni laana.....

Doesnt bring any difference sir, kwangu mtumwa wa Ccm au wa Cdm, wa Ra au wa Ws wote ni watumwa tu!
Utumwa si kitu cha kujivunia, kuwa huru. Hakukuna mtumwa bora aisee...
 
Wanaosema RA kaonyesha ukomavu kisiasa hakika manfikiri kutumia masaburi,hili halina ubishi bila kujali level zenu za shule,hakika mnafikiri kutumia masaburi.
Na wala si suala la mke na mme kuachana kisha mke au mme kurudi kuwaalimia wanae,this is something else,unataka kutuambia nani ni mke na nani mme na nani mtoto kati ya ccm,RA na wananchi wa igunga,tufafanunulieni kam RA alimuoa CCM na akzaa wana Igunga kam ni sawa,au kama wananchi wa Igunga waliolewa na RA na wakazaa mtoto anaitwa CCM.hapa hakuna falsafa unayotaka kuihalalisha itagoma tu,ukubali usikubali hili linafahamika,UELEKEO WA CCM NA SERIKALI YAKE UMEPOTEA NDANI YA GIZA NA HAKUNA WALAU TOCHI YA KUMULIKA.
Subirini tu TIME WILL TELL
 
Ukishawaleta watu kwa malori, unawapiga na ubwabwa wa kabeji!!!
nahisi mpakuaji alikuwa Nape.
 
Na hii vipi???<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=36987&amp;stc=1" attachmentid="36987" alt="" id="vbattach_36987" class="previewthumb" />
<br />
<br />
Mbona huo umati hakuna hata mwenye T-shirt ya CCM? Mambo ya Magwanda na Online Kampeni! Kazi kweli kweli!
 
Duh!!! hayo ni matusi kabisa kwa wanaigunga, Ng'hilly alituasa mwembe yanga kuwa "Asiye funzwa na mamaye hufunzwa na Ulimwengu" Tumfunze wanaIgunga
 
Nimeangalia kura za maoni kwa jimbo la Igunga kwenye site ya mwanahalisi, ingawa kura hizi hupiwa na Watanzania wote lakini pia inawapa taswira hawa wanaojiita wamiliki wa nchi (CCM) jinsi waTZ walivyochoshwa na Uzemba na udhalimu wao.


Kwa leo: 11/09/2011

Maggid Mjengwa Blog

Joseph Kashindye (Chadema)) 270 (73%)
Leopard Mahona (CUF) 26 (7%)
Dr Peter Kafumu (CCM) 72 (19%)

Votes so far: 368


Mwanahalisi

Leopold Mahona (CUF) 4%
Joseph Kashindye (CHADEMA) 89%
Peter Kafumu (CCM) 5%
Said Makeni (DP) 1%
Lazaro Ndageya (UMD) 0%
John Maguma (SAU) 1%


Total votes: 305

Kwa matokeo zaidi bofya hapa: Gazeti la MwanaHalisi

RAI

CCM (42%, 180 Votes)
Chadema (29%, 122 Votes)
CUF (28%, 121 Votes)
UDP (0%, 2 Votes)
SAU (1%, 1 Votes)

Total Voters: 426



Wapiga kura wangapi wa Igunga wana access ya internet hadi wapige kura kwenye blog ya mjengwa? Zingine huwa si kura za Maoni bali kura za Maono za mtu anayeratibu kura hizo!!
 
wangejaribu kufanya kavukavu bila wasanii ndio wangeona hasa mtazamo wa wananchi ukoje,hapo watu wengi waliwafata original comedy
 
hawa wananchi wamekodiwa kutoka vijiji, kata, wilaya, mkoa gani? Ni kawaida ya magamba kukodi mamluki!
 
Hizo ni baadhi ya picha ambazo zimepatikana leo katika uzinduzi wa kampeni za chama cha CCM jimboni Igunga.
View attachment 36963

Rais Mstaafu Ndg Benjamini Mkapa akimnadi mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CCM Ndg Dr. Kafum.

View attachment 36965

Sehemu ya umati uliohudhuria mkutano huo.

View attachment 36966

Kama kawaida wasanii wa Original Komedi walikuwepo kusherekesha uinduzi huo.

View attachment 36967

Baadhi ya vijana wakirudisha kadi za CDM baada ya Mkapa kumwaga sumu.

View attachment 36968

Katibu mkuu Ndg Willson Mkama anaonekana akisisitza jambo katika uzinduzi huo. Awali ilidhaniwa asingehudhuria.

View attachment 36969

Hapo awali ilidhaniwa Rostam asingehudhuria uzinduzi wa kampeni za kumtafuta mrithi wake, swali sijui siasa uchwara zilizomuondoa amezisamehe.

View attachment 36970

Rostam na Mkama wakionekana wakifuatilia kwa umakini uzinduzi huo, siasa kazi kweli kweli.

View attachment 36971

Bango hili mmmm utalisemea mwenyewe.

kweli wadanganyika tunapenda ze komedi ha ha ha ha ha...Viva CHADEMA....sisimu wanahangaika tu
 
Alipotajwa Kafumu hapa mwanzoni nilisema jamaa ni mtupu na nikasema mtajionea weyewe .Tafuteni bandiko langu mtaona .I knew kabisa kwamba Kafumu hana uwezo na si mwelewa na amejaa kiburi na dharau , now here we are .Kafumu CV ndefu imefinyangwa tu hakuna zaidi ya hapo .Ukweli uko kwenye madini tangia awe Commissioner Tanzania imepata nini ?Wana Igunga wataamua wenyewe sasa maana wamesha muona mtu wao .
 
aisee ni dharau kubwa sana,sema tatizo ni sisi watanzania kutokuwa na uwezo wa kusikiliza na kufikiri
 
Wanasiasa wa Tz hawaaminiki hata robo iweje useme unaacha ubunge kwa sababu ya siasa za majitaka na uchwara baadae unarudi kupiga kampeni na hao haoa unaosema wanafanya siasa uchwara sasa wewe nae si uchwara tu ama?!!! kazi bado ipo ndio mana sishangai sana NATO wakivamia Afrika na kuua huku tukiwa kimya tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom