Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Mmh! Uchakachuaji utakaofanyika hapo cjui itakuwaje? Yangu macho, 2 oktoba ipo near!

Mbona JK na makamba hawakuwepo? Mbona Captain hakuonekana?!!!!!!!!!!

Hawa sisi tumewazoea hayo maroli yatakuwa yametoa watu km kama 300 kuja kujaza watu angalieni hizo t-shirt ni uchakachuzi tu. But always PEOPLES POWER !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Well.. wapo wanaume watakaomchagua kama mke wake alivyomchagua hujaona wakipiga mavuvuzela na kushika mabango? Kama uko offended usimchague its as simple as that. Msamaha hupati.

Kama walipiga mavuvuzela baada ya kuambiwa hivyo, basi sina shaka kuna wanaume ATAWAPAKATA.

Mkuu Mzee wa Rula asante sana kwa picha lakini naomba sana uongezee na hii

Mwita: Ameachana na siasa lakini hajaachana na CCM.

Marwa: Rostam kaonesha ukomavu wa hali ya juu kisiasa!

Mwita: Hili nimeshalitolea ufafanuzi tayari. Nimeuliza kwa mfano wanandoa wanaishi na kupata mtoto lakini baada ya muda mwanamke anachoshwa na tabia za mumewe na analazimika kudai talaka na ndoa inavunjika. Je ni kosa kwa mwanamke kutoa msaada kwa mtoto wake pale anapojisikia?

Marwa: Rostam aliacha ubunge na sio uanachama wa CCM! Yupo Igunga kutetea chama chake CCM

Kafumu: MNAMUONA HUYU? HUYU NDIE MKE WANGU, MAMA KAFUMU, ALINICHAGUA MIMI NIWE MUME WAKE, KWA HIYO NA NYINYI (MAMURA ?) NYOOTE FANYENI HIVYOHIVYO!

Marwa, Mwita, Marwa, Mwita... haya mamura, kazi kwenu !

Sura za walio meza kuu hapo zinaonesha hawana mahusiano mazuri kati yao wamekusanywa na kampeni tu hawawezi hata kucheka akti yao wana sura za kukata tamaa

CCM wanawafanya wananchi kuwa mtaji wao wakati wa uchaguzi kwa gharama yoyote, wakishashinda basi, kilichobaki kwenda kugombania posho bungeni

Well.. wapo wanaume watakaomchagua kama mke wake alivyomchagua hujaona wakipiga mavuvuzela na kushika mabango? Kama uko offended usimchague its as simple as that. Msamaha hupati.

Hahahahahaha! Kweli wanamagamba wamekosa ubunifu, they always talk none sense! Alafu i hate hii tabia yao ya kuchukua wataalam na kuwaweka ktk siasa!

Zitto hawezi kuhudhuria kwasababu ya tofauti zao na Mbowe. Unajua Zitto huwa hapendi kupelekwa pelekwa kama Mkokoteni. Sasa bila yeye sijui mtashinda vipi uchaguzi?

mkuu una umbeya kuliko hata mademu???aisee tukiwa na watu kama wewe nchi hii tutabaki nyuma milele

endeleeni kujidanganya.uchaguzi unafanyika igunga nyie mnaendesha kura ya maoni online kujifurahisha.

Huwezi kupewa 'gwanda' until you prove beyond reasonable dought that you are one of us!

Kama CDM imeanza kufanya hivyo itakuwa imepiga hatua. Manake naona mnapata tabu kwa Mzee Shibuda!! Sijui kama Prof. Safari na Adv. Marando wali prove beyond reasonable doubts that they were among of you!!!

Nackia ajari ya NUNGWI ni kafara ya Mkapa ili CCM ishinde si mnakumbuka enzi zake ajari kama basi la mwanza, mv bukoba, treni nk?

Nani anatumia vibaya pesa za wananchi masikini? Mmoja anawauzia kofia (ambazo zimetengenezwa kwa kodi za wananchi) na mwingine anawagawia bure.
Bila hata kujali kama kofia ni muhimu au lah, jibu liko wazi sana...

tambua kwamba chadema hawana serikali. hivyo jibu bado liko pale pale kwamba ccm ndiyo watumiaji wabaya wa kodi za wananchi, wanatoa kofia, t-shirt, khanga, (tumesikia akina mama wanapewa mpaka nguo za ndani) kuandaa malori kubeba watu kwa kodi za wananchi, kukodisha wasanii kama the orijino komedi. hii yote ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi.

MWENYEKITI mstaafu wa CCM, Benjamin Mkapa amezindua kampeni za chama hicho jana katika uchaguzi mdogo wa Igunga na kuwataka wananchi kumchagua mgombea wa chama hicho na kuwakanyagakanyaga wapinzani.

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…