G. Activist
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 482
- 125
Habari yako ni nzuri kwa waTZ wanaoipenda hii nchi....!!! Lakini hebu tupe wasifu wako kabisa!!! Umejitambulisha unatoka kijiji cha ndani kabisa, sasa hizi habari zote umetoa wapi?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nawashangaa baadhi ya watu hapa JF, bila shaka ni mapandikizi ya magamba. Ni afadhali ukaamini kuwa Mungu yupo na asikuwepo kuliko ukaamini kuwa hayupo na ukakutana naye siku ya kiyama. Ushauri wangu kwa CHADEMA, msipuuzie jambo lolote kwa hili, ila muwe na tahadhari, ili likitokea la kutokea, tuwe na solution tayari na siyo kukumbuka blanketi asubuhi.
unakuhusu nini?Habari yako ni nzuri kwa waTZ wanaoipenda hii nchi....!!! Lakini hebu tupe wasifu wako kabisa!!! Umejitambulisha unatoka kijiji cha ndani kabisa, sasa hizi habari zote umetoa wapi?!!!
Habari yako ni nzuri kwa waTZ wanaoipenda hii nchi....!!! Lakini hebu tupe wasifu wako kabisa!!! Umejitambulisha unatoka kijiji cha ndani kabisa, sasa hizi habari zote umetoa wapi?!!!
Patrick umepungukiwa subira, bora kusemea itikadi ya vyama kuliko udini.Nakushukuru mkuu
Mimi nawashangaa baadhi ya watu hapa JF, bila shaka ni mapandikizi ya magamba. Ni afadhali ukaamini kuwa Mungu yupo na asikuwepo kuliko ukaamini kuwa hayupo na ukakutana naye siku ya kiyama. Ushauri wangu kwa CHADEMA, msipuuzie jambo lolote kwa hili, ila muwe na tahadhari, ili likitokea la kutokea, tuwe na solution tayari na siyo kukumbuka blanketi asubuhi.
CHADEMA ikishinda Igunga nahamia Zanzibar.
Signature yako inajibu hoja nzima!Mie nimesoma Igurubi Secondary.Mkuu wetu wa shule anaitwa Mwl.Masele
Sisi ndie tunayeijua igunga,
NAWAKUMBUSHA.
ukienda maeneo ya Igurubi,Itunduru,Mwamashimba,Mwanzugi,Mwisi,Igunga na Nanga nimetaja kidogo...
huko kote ni CCM tupu! hawajawahi kuchagua chama cha upinzani tangu wajumbe wa vijiji hadi vitongoji.Huko wao ni Chama TAWALA tu.
kwa mantiki hii, wanaodhani kuwa Chama Cha Map.. kina wakati mgumu kushinda huko wafanye utafiti wa kutosha tusijikute tunaapa bure tukamkosea Muumba!
na hayo ndiyo maeneo ambayo yanamwaga kura nyingi CCM.(siwapambi natoa uhalisia)
ili vyama vingine vishinde huko kazi ya ziada ya kunadi sera inakiwa ifanyike, la sivyo mtajikuta mnaishia kwenye ushabiki siku ziende.
KAZI IPO IGUNGA, NAFASI YA CCM BADO NI KUBWA! YOWE SIO KURA FINALI TAREHE 02.OCT.
Teh teh teh! LATIFA yani leo ndio nimekuona pumba, nimecheka!
Kiingereza sio Kichagga ndio unaweza kunifundisha ujui maana ya Psychiatrist, kwa kukusaidia jaribu ku-Google utafahamu maana yake, angalia sasa watu wanakucheka, jikite sana kwenye lugha yako ya Kichagga ndio unayoifahamu sawa LATIFA
Mie nimesoma Igurubi Secondary.Mkuu wetu wa shule anaitwa Mwl.MaseleSisi ndie tunayeijua igunga,NAWAKUMBUSHA.ukienda maeneo ya Igurubi,Itunduru,Mwamashimba,Mwanzugi,Mwisi,Igunga na Nanga nimetaja kidogo...huko kote ni CCM tupu! hawajawahi kuchagua chama cha upinzani tangu wajumbe wa vijiji hadi vitongoji.Huko wao ni Chama TAWALA tu.kwa mantiki hii, wanaodhani kuwa Chama Cha Map.. kina wakati mgumu kushinda huko wafanye utafiti wa kutosha tusijikute tunaapa bure tukamkosea Muumba!na hayo ndiyo maeneo ambayo yanamwaga kura nyingi CCM.(siwapambi natoa uhalisia)ili vyama vingine vishinde huko kazi ya ziada ya kunadi sera inakiwa ifanyike, la sivyo mtajikuta mnaishia kwenye ushabiki siku ziende.KAZI IPO IGUNGA, NAFASI YA CCM BADO NI KUBWA! YOWE SIO KURA FINALI TAREHE 02.OCT.
Chuki, ...zamani, enzi ya chama kimoja, hali ilikuwa hivyo kweli, lakini hebu niambie kata ya jirani yako ya Kinungu diwani wake ni wa chama gani? Kama sio Mh Adrian wa CHADEMA! Sema Kama sio kweli kuwa katika kata hiyo inataka uwe na moyo wa ujasiri kuvaa magwanda ya kijani. Kielelezo kizuri cha wilaya ni Kata ya makao makuu ya wilaya ambayo ni kata ya Igunga, hebu sema kweli, ...
Umepigilia msumari moto utosini, Chuki hatarudi
Hizi habari unaweza ukazipata sehemu mbali mbali, mojawapo ni kama wewe ulivyosoma baada ya yeye kuandika......... ACHA MAWAZO MGANDO............... AU wewe ni mmojawapo wa wanaoamini kuwa kama kitu hujui wewe basi hakipo? Wasifu wake utakusaidia nini katika hizi habari..???Habari yako ni nzuri kwa waTZ wanaoipenda hii nchi....!!! Lakini hebu tupe wasifu wako kabisa!!! Umejitambulisha unatoka kijiji cha ndani kabisa, sasa hizi habari zote umetoa wapi?!!!