Nimesoma gazeti la majira kuwa kuna mgogoro kati ya mh Mkono na mbunge mmjoja mkoani Mara.Nimehisi kuwa huyu atakuwa Mathayo wa Musoma mjini ambaye atakuwa anampigia debe Abdallah Bulembo kuwa mwenyekiti wa wazazi taifa.Kweli CCM kipenzi cha vihiyo.Mathayo na Bulembo ni watu mbumbumbu.Kweli taifa litazidi kuangamia