Uchaguzi - Jumuiya ya Wazazi Taifa

Uchaguzi - Jumuiya ya Wazazi Taifa

lageneral

Member
Joined
Mar 24, 2007
Posts
60
Reaction score
1
Nimesoma gazeti la majira kuwa kuna mgogoro kati ya mh Mkono na mbunge mmjoja mkoani Mara.Nimehisi kuwa huyu atakuwa Mathayo wa Musoma mjini ambaye atakuwa anampigia debe Abdallah Bulembo kuwa mwenyekiti wa wazazi taifa.Kweli CCM kipenzi cha vihiyo.Mathayo na Bulembo ni watu mbumbumbu.Kweli taifa litazidi kuangamia
 
Nani anafuatilia uchaguzi jumuyia ya wazazi Taifa.Inaonekana Abdallah Bulembo anapigiwa debe n ambunge wa Musoma mjini mh mathayo.Kweli CCM KIPENZI CHA VIHIYOOOOOO.
 
Back
Top Bottom