Miss Zomboko JF-Expert Member Joined May 18, 2014 Posts 4,599 Reaction score 9,532 Aug 3, 2022 #1 Jamii ya Washona nchini Kenya watapiga kura kwa mara ya kwanza katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti 9, 2022. Kundi la kwanza la jamii hii liliwasili Kenya kutoka Zimbabwe miaka sitini iliyopita na kukupewa uraia mwaka 2020 BBC
Jamii ya Washona nchini Kenya watapiga kura kwa mara ya kwanza katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti 9, 2022. Kundi la kwanza la jamii hii liliwasili Kenya kutoka Zimbabwe miaka sitini iliyopita na kukupewa uraia mwaka 2020 BBC
joto la jiwe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 26,117 Reaction score 46,617 Aug 3, 2022 #2 Miss Zomboko said: Jamii ya Washona nchini Kenya watapiga kura kwa mara ya kwanza katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti 9, 2022. Kundi la kwanza la jamii hii liliwasili Kenya kutoka Zimbabwe miaka sitini iliyopita na kukupewa uraia mwaka 2020 BBC Click to expand... Huu ndio ukabila tunaoukataza, kwamba wakenya wanatambuana na kutajana kwa makabila Yao, stupid. Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Miss Zomboko said: Jamii ya Washona nchini Kenya watapiga kura kwa mara ya kwanza katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti 9, 2022. Kundi la kwanza la jamii hii liliwasili Kenya kutoka Zimbabwe miaka sitini iliyopita na kukupewa uraia mwaka 2020 BBC Click to expand... Huu ndio ukabila tunaoukataza, kwamba wakenya wanatambuana na kutajana kwa makabila Yao, stupid. Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Tony254 JF-Expert Member Joined May 11, 2017 Posts 16,017 Reaction score 16,431 Aug 3, 2022 #3 joto la jiwe said: Huu ndio ukabila tunaoukataza, kwamba wakenya wanatambuana na kutajana kwa makabila Yao, stupid. Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app Click to expand... Nyie pia mna ukabila.
joto la jiwe said: Huu ndio ukabila tunaoukataza, kwamba wakenya wanatambuana na kutajana kwa makabila Yao, stupid. Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app Click to expand... Nyie pia mna ukabila.
P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,422 Reaction score 6,108 Aug 3, 2022 #4 Tony254 said: Nyie pia mna ukabila. Click to expand... Unakusudia makabila? Ukabila haupo ulishaondolewa fasta tu baada ya kuanza kuchipuka, Sasa tumerudi mstarini
Tony254 said: Nyie pia mna ukabila. Click to expand... Unakusudia makabila? Ukabila haupo ulishaondolewa fasta tu baada ya kuanza kuchipuka, Sasa tumerudi mstarini
joto la jiwe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 26,117 Reaction score 46,617 Aug 5, 2022 #5 pye Chang shen said: Unakusudia makabila? Ukabila haupo ulishaondolewa fasta tu baada ya kuanza kuchipuka, Sasa tumerudi mstarini Click to expand... Hawajui tofauti Kati ya "ukabila" na makabila" au "Tribalism vs tribes" Tony254 Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
pye Chang shen said: Unakusudia makabila? Ukabila haupo ulishaondolewa fasta tu baada ya kuanza kuchipuka, Sasa tumerudi mstarini Click to expand... Hawajui tofauti Kati ya "ukabila" na makabila" au "Tribalism vs tribes" Tony254 Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app