Kenya 2022 Uchaguzi Kenya 2022: Jamii ya Washona kupiga kura kwa mara ya kwanza

Kenya 2022 General Election

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532

Jamii ya Washona nchini Kenya watapiga kura kwa mara ya kwanza katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti 9, 2022.

Kundi la kwanza la jamii hii liliwasili Kenya kutoka Zimbabwe miaka sitini iliyopita na kukupewa uraia mwaka 2020

BBC
 
Huu ndio ukabila tunaoukataza, kwamba wakenya wanatambuana na kutajana kwa makabila Yao, stupid.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom