Uchaguzi Kenya: All is not well in our neighbour Kenya

hussler

Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
78
Reaction score
33
All is not well in our neighbour kenya, for the first time I have heard kenya chief of defence staff speak on the planned elections of 26th.

The general was giving a stern warning to the two political chiefs uhuru and raila on their continued rhetoric, is there more than meets the eye on this one? Only time will tell.

Tuzidi kuwaombea ndugu zetu wakenya wanajiandaa na uchaguzi ujao uwe wa amani, mi wameshanza kunipa presha nilikuwa nipeleke kitunguu changu hapo nairobi wiki ijayo sasa wakilianzisha mungu epushia mbali sijui hawa watoto Wangu January ada natoa wapi.
 
hekima itumike zaidi. badala ya ubabe na binafsi.
 
Hayo manyang'au yanasema yana katiba bora Afrika nzima. Yaache yale hiyo katiba yao.
 
All is not well in our neighbour kenya, for the first time I have heard kenya chief of defence staff speak on the planned elections of 26th.

The general was giving a stern warning to the two political chiefs uhuru and raila on their continued rhetoric, is there more than meets the eye on this one? Only time will tell.

Tuzidi kuwaombea ndugu zetu wakenya wanajiandaa na uchaguzi ujao uwe wa amani, mi wameshanza kunipa presha nilikuwa nipeleke kitunguu changu hapo nairobi wiki ijayo sasa wakilianzisha mungu epushia mbali sijui hawa watoto Wangu January ada natoa wapi.
Una uhakika alikya chief of defence staff wa KDF? Umememskia wapi? Kama ni kweli basi itakua top story leo manake sijawahi/hatujawahi kuskia kdf ikitoa political statements kama hizo, hata ule wakati wa 2007,
Alafu eti ataje the two political chiefs waache kutuzungusha , one of those political chiefs is still his commander in chief, I higly doubt a general would issue such a statement (specifically mentioning the two political chiefs) that breaks the long standing culture of kdf not being involved in politics.
 
Kama unawapenda hao wakenya nenda kanywe nao chai.
kwani unaugomvi nao upi hao raia wa kenya hadi kutamani nchi yao ivurugike?
Jirani wakigombana hata wewe usingizi hupati ,bado hujajifunza ujirani wetu burundi na Rwanda matatixo yao yanavyotugharimu?
Nakushauri oa mkenya upunguze chuki au tumuombr Daimond akafanye yake kule ili uwapende wakenya kama zari alivyoongeza harmony kati yetu na waganda!
 
Mwathethe warns politicians fueling ethnicity during campaigns
 
Mungu hawezi kupoteza muda wake kusikiliza maombi ya kipuuzi namna hiyo. Soma Mithali 28:16 a utapata jibu. "Mkuu aliyepungukiwa na akili huonea watu sana" Siyo kwamba hana kabisa akili bali zimepungua. Anajiona ni yeye tu ansyestahiki urais basi
 
Tuwaombee tu hawa majirani zetu.
God gave them Brains , and Everything,
Now they want to destroy their country, kwa nini Tuwaombee?
Yaani watu wazima na akili zao timamu wanataka kupigana halafu tuwaombee??
Kama motochini alivyosema
Mafuta yao.
Kibiriti chao
Acha wawashe moto, tukiona unawazidi tutakuja kusaidia kuuzima.
 
kwani unaugomvi nao upi hao raia wa kenya hadi kutamani nchi yao ivurugike?
Jirani wakigombana hata wewe usingizi hupati ,bado hujajifunza ujirani wetu burundi na Rwanda matatixo yao yanavyotugharimu?
Nakushauri oa mkenya upunguze chuki au tumuombr Daimond akafanye yake kule ili uwapende wakenya kama zari alivyoongeza harmony kati yetu na waganda!
Nchi yao wanaivuruga wenyewe, huwa wanajiita 'Aggressive'
Sasa sisi tufanyaje?
 
kwani unaugomvi nao upi hao raia wa kenya hadi kutamani nchi yao ivurugike?
Jirani wakigombana hata wewe usingizi hupati ,bado hujajifunza ujirani wetu burundi na Rwanda matatixo yao yanavyotugharimu?
Nakushauri oa mkenya upunguze chuki au tumuombr Daimond akafanye yake kule ili uwapende wakenya kama zari alivyoongeza harmony kati yetu na waganda!
Badilisha uraia we mkenya kabisa basi.
 
Nimeisoma... Huyo hussler amechukua hio taarifa na kuigeuza kabisa! The general warned that bad politics could make the country break apart (secession) that leaders should seek to unite Kenyans...
Huyo hussler hapo juu amegeuza hio story na kusujjest kwamba ametoa starn warning to
politicians or else he will take action or something like that. Which is not the case...
Remember Gen.Mwathethe comes from Kilifi county, I know the place where the burial happened cause I come from same region... He was only warning that politics will break the country, he however did not place any indication of interfering with politics or election
 
Back
Top Bottom