wewe ni mjinga sana.Afukuzwe kenya huyo hajui kitu, immigration wetu watamshugulikia tu, ni sawa na waswahili wenzake tu analeta ze ze ze tu! Ze comedy irudi tz wakabake demokrasia mbali na sisi.
[emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23]What is so special kadoda11 ?
povuuuu...i was expecting for this nonsense.huna hoja.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanahabari wa kenya wameshangazwa na ze ze ze za hao 'wanahabari' wa azam, walivoshindwa kutema yai apo orange house wanaishia kumumunya maneno kwa aibu, wakiomba tafsiri ya unge'nge unaotoka kwa wanasiasa wa kenya watz mnatisha aiseee...bora mbaki apo uswahilini[emoji90] [emoji90] [emoji2]
I see. Kumbe hao kina Njokii? Hao wanaongozwa kwa kucharazwa makofi na wake zao ndio wanaogopa Ivona Kamuntu atakuja kugundua na hilobe patient, will show you the special side of this thread after some few minutes.
ndio maana nikakuomba uvute subira,bila shaka umeona u-special wa hii taarifa.I see. Kumbe hao kina Njokii? Hao wanaongozwa kwa kucharazwa makofi na wake zao ndio wanaogopa Ivona Kamuntu atakuja kugundua na hilo
Duh, unachekesha sana unavyokishadadia Kiingereza kama kikaragosi.Wanahabari wa kenya wameshangazwa na ze ze ze za hao 'wanahabari' wa azam, walivoshindwa kutema yai apo orange house wanaishia kumumunya maneno kwa aibu, wakiomba tafsiri ya unge'nge unaotoka kwa wanasiasa wa kenya watz mnatisha aiseee...bora mbaki apo uswahilini[emoji90] [emoji90] [emoji2]
Yaani hongera haitoki mpaka iambatane na masemango.. Dah aiseeHaya hongera ila kwa kweli basi mlikua nyuma sana, muda wote huu nilikua najua vyombo vyenu vya habari huwa vina wanahabari wanaotoka nje kukusanya taarifa. Yaani hata kwenye nchi za jirani zenu hamkua na wanahabari wanaofika.
Ama kwa kweli nini huwa kinawachelewesha Watanzania, huwa mnalaumu vitu vingi ikiwemo Mjerumani aliyewakoloni, mara ujamaa wa Nyerere, mara vita vya Kagera na mambo mengine mengi. Miaka 50 ya uhuru baadaye ndio mnaanza kuchomoza kichwa hadi hata kumtoa mwanahabari nje ya nchi inakua sherehe....hehehehe jameni.
Inafaa muanze kujiamini na kujitia jeuri, mtoke jameni ili kupanua uwezo wa kufikiri na kuona mengine zaidi ya Dar.
Sisi Wakenya tunakatiza Afrika yote utadhani shamba la bibi yetu. Kama ni suala la wanahabari kutoka ndio usipime, fuata makala ya "Daring Abroad - By Alex Chamwada", jinsi amezunguka dunia akikusanya taarifa za Wakenya ambao wanafanya yao nje ya nchi na kutuma hela nyumbani.
Pole sanaAfukuzwe kenya huyo hajui kitu, immigration wetu watamshugulikia tu, ni sawa na waswahili wenzake tu analeta ze ze ze tu! Ze comedy irudi tz wakabake demokrasia mbali na sisi.
kenya TV stations on tanzania election in 2015.
https://youtu.be8Vcc6ZvXpnM https://youtu.beN7BeFLgnmoM[URL][/Q...ifa[/QUOTE] Ilikuwa btwe, habari za kimataifa
Wazee wakale hao HahahaDuh, unachekesha sana unavyokishadadia Kiingereza kama kikaragosi.
Mkuu umewachokoza naona wamekuja eti Tz wanauona uchaguz wa kenya kama wa USA wamesahau walivokuwa wanarusha kampen zetu kama wao ndio wanaombwa kura.secta ya habari nchini tanzania inazidi kukua kila siku.
safari hii,kituo kikubwa cha runinga chenye makao yake makuu jijini dar es salaam,kimetuma reporter maaulum wa kuripoti yanayojiri katika uchaguzi nchini kenya.
mtangazaji mahiri wa Azam TV,mwanadada Ivona Kamuntu alipokuwa anafanya mahojiano na watu mbalimbali jijini nairobi mapema leo.
NB:watani zetu najua mtatoa povu maana mlishawahi kulalamika eti watz wanafatilia sana masuala "yenyu".
sisi wala hatujari,HAPA KAAZI TU.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]