Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Wameona wanapata hasara
Nope. Kpl increased the number of teams from 16 to 18 in the league this new season.... aaand did not inform them. sasa hii ndio ilileta mtafaruku kwani ilienda kinyume na mkataba wao uliokuwa unaisha 2019. Dstv decided to pull out. In Ghana, they talked first and agreed. Right now Kpl and Dstv are still in negotiations.
 
day three: kenyans searching for different photos of digisuper lens with no success.
[emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

ichoboy01 Annael

[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa wameishia mitini. Hawana na sasa hivi tunajua kuwashushua. Wakileta picha za uongo tutajua wamezitoa wapi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa wameishia mitini. Hawana na sasa hivi tunajua kuwashushua. Wakileta picha za uongo tutajua wamezitoa wapi.
digisuper is of extraordinary, it's not a normal broadcasting toy you can find in most of our broadcasting houses in east africa.

laiti kama digisuper lens ingekuwa inapatikana kenya,nakuhakikishia,kwa jinsi wakenya walivo washamba,
kila kijana wa kikenya angepiga nayo picha na kupost Twitter,Instagram na Facebook.[emoji23] [emoji23]

sisi watu ambao tupo ktk field ya tv broadcasting tunajua Raha ya digisuper.
digisuper si kitu ya mchezo kaka.hatari sana.

hata wazungu waliovumbua hii toy,nao pia huwa super excited kuitumia.
yaani wanapagawa ile kishenzi kutumia digisuper.

Tazama caption kwenye screenshots hapa chini.
 
Hawana studio wala equipments za kushindana na azam hawana na hilo liko wazi na wameshaelewa
 
day 4: no photos of digisuper lens from kenyans.

bado wanaendelea kutafuta lakini uwezekano wa kupatikana ni mdogo.

[emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

ichoboy01 Annael

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
$200000 ni bei ya range rover...so si ki2 extra ordinary
 
Hawana studio wala equipments za kushindana na azam hawana na hilo liko wazi na wameshaelewa
Huu uzi waliuvamia kwa pupa na blabla tele,sasa hivi wanaupitia kwa mbali.hahahahaha

MK254 njoo uokoe vijana wako,wameshindwa kuleta picha za digisuper lens toka media huko kwenyu kenya.
 
Digisuper starts from sh5m to sh25m hio ata sonko ananunua kumi akitaka leo...U guys are bragging on peanuts
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ studio kwanza leta digisuper lens kwanza...... Tujue munazo πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ studio kwanza leta digisuper lens kwanza...... Tujue munazo πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Zuku brings rugby live....Dstv(contract terminate) always brings KPL live...Unadani wanatumia camera ya infinix
 
Zuku brings rugby live....Dstv(contract terminate) always brings KPL live...Unadani wanatumia camera ya infinix
OMG!!! I never knew this,thanks to the internet.

it was a big news in 2015 when azam TV ob truck arrived in kenya for the first time.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
OMG!!! I never knew this,thanks to the internet.

it was a big news in 2015 when azam TV ob truck arrived in kenya for the first time.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Huyo ndio azam hehhehe hata unga wake walizuia wakijua ataua market ya wazawa kenyaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kutokuwa na pich si kumaanisha haziko. Labda Zuku hawajaona haja ya kuzipiga picha. Na kama someone in Kenya can afford a 15 million car kwanini zisikuwe kwa Tv stations za Kenya
 
Kutokuwa na pich si kumaanisha haziko. Labda Zuku hawajaona haja ya kuzipiga picha. Na kama someone in Kenya can afford a 15 million car kwanini zisikuwe kwa Tv stations za Kenya
hata kama inauzwa ksh1000,that's not a problem,we need you to provide photos of digisuper lens here.porojo hazina nafasi hapa.
 
feelings of excitement from camera operators who use digisuper lens.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…