digisuper is of extraordinary, it's not a normal broadcasting toy you can find in most of our broadcasting houses in east africa.
laiti kama digisuper lens ingekuwa inapatikana kenya,nakuhakikishia,kwa jinsi wakenya walivo washamba,
kila kijana wa kikenya angepiga nayo picha na kupost Twitter,Instagram na Facebook.[emoji23] [emoji23]
sisi watu ambao tupo ktk field ya tv broadcasting tunajua Raha ya digisuper.
digisuper si kitu ya mchezo kaka.hatari sana.
hata wazungu waliovumbua hii toy,nao pia huwa super excited kuitumia
Tazama caption kwenye kwenye screenshots hapa chini.