COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Kama Azam ina rights ya EPL ndio ntai respect...Ata K24 na NTV huonyesha serie A,Ligue 1 na Laliga.
Then Azam haitambiliwi kenya
Then Azam haitambiliwi kenya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haina shida...hata sisi tuna kijana wetu maarufu huko ulaya, anaitwa mbwana samatta.Uzuri hapo ni, itaonyesha vijana wetu kina Wanyama wakisakata boli!
Kama Azam ina rights ya EPL ndio ntai respect...Ata K24 na NTV huonyesha serie A,Ligue 1 na Laliga.
Then Azam haitambiliwi kenya
kuhusu EPL,vuta subira.ni suala la mda tu.
nadhani kwa sasa mwenye right ya kuonyesha all EPL matches kwa east africa ni dstv.
hata huko kenya sidhani kama hizo TV zenyu zina right ya kuonyesha game zote za EPL.
unasema azam tv haitambuliwi kenya?.you can't be serious.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
![]()
![]()
![]()
Kutambuliwa is a wrong word ametumia hapo, but ukweli n kwamba Azam tv is not that popular here in Kenya, na sisemi hivyo kwa dhamira ya kuponda. It's the fact The market share ya Azam Kenya is only about 1%.
Gotv, Zuku, Dstv na Startimes ndio ziko na the most subscription here.
Research and prove me wrong.
I beg u to understand this...Azam tv is unpopular in Kenya, not bcos Kenyans are anti- Tanzania, boycotting Tanzanian products. Azam energy drink is quite a craze here .sishangai kusikia kauli kama hiyo toka kwa mkenya.
hata jamii forum huwa mnasema siyo maarufu miongoni mwa wakenya.
lakini ukweli ni kwamba mpo wakenya mliojisajiri hapa kama member na mna-spend masaa yenyu mengi jf.
pia wapo maelfu ya wakenya wanaoitembelea jf kimyakimya na kufatilia mijadala kimya kimya bila kuchangia chochote.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwikwikwi. Huwa nacheka sana nikisikia opinions za wakenya zimejaa mihemko na mapovu juu. Jambo linaeleweka kabisa na references umepewa sasa unatoa povu jingi hivyo. Tatizo ni nini rafiki. Je, ile lens mmechungulia kila kona mmekosa?I beg u to understand this...Azam tv is unpopular in Kenya, not bcos Kenyans are anti- Tanzania, boycotting Tanzanian products. Azam energy drink is quite a craze here .
Azam tv is to blame for its failure in the Kenyan tv market. Whilst the other digital tv service providers have intensified their efforts to upstage each other for dominance in this increasingly competitive industry, Azam tv is doing almost nothing to gain the consumers attention. No billboards, no commercials on tvs or radios, theyre not available anywhere on the Kenyan social media. Akina Gotv, Startimes etc even occassionally run promotions, awarding comsumers millions worth of prizes....what is Azam doing?? Are Kenyans really to blame?
Huwa naona kamsemo fulani hutumika sana na watz hapa JF, ati kudandia kichwa cha treni....sijui?Kwikwikwi. Huwa nacheka sana nikisikia opinions za wakenya zimejaa mihemko na mapovu juu. Jambo linaeleweka kabisa na references umepewa sasa unatoa povu jingi hivyo. Tatizo ni nini rafiki. Je, ile lens mmechungulia kila kona mmekosa?
Pole sana rafiki yangu najua moyo wako unaungua sana, hupendi mambo haya yatokee muda huu ukiwa hai, unatamani ardhi ipasuke. Yaani unatamani kabisa Azam ingekuwa ya Kenya. Hakuna namna itabidi uzoee tu.
We umeelewa kweli vile amesema ama kizungu imekupiga chengaKwikwikwi. Huwa nacheka sana nikisikia opinions za wakenya zimejaa mihemko na mapovu juu. Jambo linaeleweka kabisa na references umepewa sasa unatoa povu jingi hivyo. Tatizo ni nini rafiki. Je, ile lens mmechungulia kila kona mmekosa?
Pole sana rafiki yangu najua moyo wako unaungua sana, hupendi mambo haya yatokee muda huu ukiwa hai, unatamani ardhi ipasuke. Yaani unatamani kabisa Azam ingekuwa ya Kenya. Hakuna namna itabidi uzoee tu.
I beg u to understand this...Azam tv is unpopular in Kenya, not bcos Kenyans are anti- Tanzania, boycotting Tanzanian products. Azam energy drink is quite a craze here .
Azam tv is to blame for its failure in the Kenyan tv market. Whilst the other digital tv service providers have intensified their efforts to upstage each other for dominance in this increasingly competitive industry, Azam tv is doing almost nothing to gain the consumers attention. No billboards, no commercials on tvs or radios, theyre not available anywhere on the Kenyan social media. Akina Gotv, Startimes etc even occassionally run promotions, awarding comsumers millions worth of prizes....what is Azam doing?? Are Kenyans really to blame?
Azam kukua Kenya so shida.... shida no its not popular at all 1% of the market share...they should do more adverts ju Mimi nmejulia Azam hapanimebeani kwamba wakenya mnapenda sana kuuziwa bidhaa on offer basis.
speaking of offers and promotions, your request/opinion was accepted and put into action since 2016.[emoji116] [emoji116] [emoji116]![]()
![]()
una jambo lingine kuhusu azam tv kwa kenya?.
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]sishangai kusikia kauli kama hiyo toka kwa mkenya.
hata jamii forum huwa mnasema siyo maarufu miongoni mwa wakenya.
lakini ukweli ni kwamba mpo wakenya mliojisajiri hapa kama member na mna-spend masaa yenyu mengi jf.
pia wapo maelfu ya wakenya wanaoitembelea jf kimyakimya na kufatilia mijadala kimya kimya bila kuchangia chochote.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Azam kukua Kenya so shida.... shida no its not popular at all 1% of the market share...they should do more adverts ju Mimi nmejulia Azam hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Kwikwikwi. Huwa nacheka sana nikisikia opinions za wakenya zimejaa mihemko na mapovu juu. Jambo linaeleweka kabisa na references umepewa sasa unatoa povu jingi hivyo. Tatizo ni nini rafiki. Je, ile lens mmechungulia kila kona mmekosa?
Pole sana rafiki yangu najua moyo wako unaungua sana, hupendi mambo haya yatokee muda huu ukiwa hai, unatamani ardhi ipasuke. Yaani unatamani kabisa Azam ingekuwa ya Kenya. Hakuna namna itabidi uzoee tu.
Huwa nacheka sana kuona wakenya jinsi wanavyopiga ukweli. Yaani hawa watu ni wa kuwahurumia tu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Azam haitambuliwi...period...kwani unataka niseme inatambuliwa ndio ufurahie...the only Tanzanian product najua Kenya in konyangi na in low quality[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Mbona unataka kulia tena rafiki. Kipi kimekusibu?Azam haitambuliwi...period...kwani unataka niseme inatambuliwa ndio ufurahie...the only Tanzanian product najua Kenya in konyangi na in low quality
Kulia ni wewe.....Gotv is the Most Popular Decoder as Set Top Box Ownership at 71% of TV owners Azam hatujui hukuMbona unataka kulia tena rafiki. Kipi kimekusibu?
Kwikwikwi yaani jamaa yangu unajitekenya na kucheka mwenyewe.Kulia ni wewe.....Gotv is the Most Popular Decoder as Set Top Box Ownership at 71% of TV owners Azam hatujui huku
We huelewi mada tunaongelea hapa......tunasema Azam iko Kenya but hautambuliwi juu hawafanyi adverts na promotions ata Bamba TV in more popular ju wanachapa adverts kibao na wanadunga ma promo Kali Kali msee.Kwikwikwi yaani jamaa yangu unajitekenya na kucheka mwenyewe.
AzamTV
Azam TV - Channels
Tuanzie hapo kwanza,