Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Kama Azam ina rights ya EPL ndio ntai respect...Ata K24 na NTV huonyesha serie A,Ligue 1 na Laliga.
Then Azam haitambiliwi kenya
 
Uzuri hapo ni, itaonyesha vijana wetu kina Wanyama wakisakata boli!
haina shida...hata sisi tuna kijana wetu maarufu huko ulaya, anaitwa mbwana samatta.

kwa sasa anachezea timu ya KRC Genk ambayo ipo league kuu ya Belgium.

huwa tunamwona mara kwa mara kupitia fox sport channel ambayo inapatikana kwenye decoder ya azam TV.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama Azam ina rights ya EPL ndio ntai respect...Ata K24 na NTV huonyesha serie A,Ligue 1 na Laliga.
Then Azam haitambiliwi kenya

kuhusu EPL,vuta subira.ni suala la mda tu.
nadhani kwa sasa mwenye right ya kuonyesha all EPL matches kwa east africa ni dstv.

hata huko kenya sidhani kama hizo TV zenyu zina right ya kuonyesha game zote za EPL.

unasema azam tv haitambuliwi kenya?.you can't be serious.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

 
Kutambuliwa is a wrong word ametumia hapo, but ukweli n kwamba Azam tv is not that popular here in Kenya, na sisemi hivyo kwa dhamira ya kuponda. It's the fact The market share ya Azam Kenya is only about 1%.

Gotv, Zuku, Dstv na Startimes ndio ziko na the most subscription here.

Research and prove me wrong.
 

sishangai kusikia kauli kama hiyo toka kwa mkenya.

hata jamii forum huwa mnasema siyo maarufu miongoni mwa wakenya.

lakini ukweli ni kwamba mpo wakenya mliojisajiri hapa kama member na mna-spend masaa yenyu mengi jf.

pia wapo maelfu ya wakenya wanaoitembelea jf kimyakimya na kufatilia mijadala kimya kimya bila kuchangia chochote.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
I beg u to understand this...Azam tv is unpopular in Kenya, not bcos Kenyans are anti- Tanzania, boycotting Tanzanian products. Azam energy drink is quite a craze here .

Azam tv is to blame for its failure in the Kenyan tv market. Whilst the other digital tv service providers have intensified their efforts to upstage each other for dominance in this increasingly competitive industry, Azam tv is doing almost nothing to gain the consumers attention. No billboards, no commercials on tvs or radios, theyre not available anywhere on the Kenyan social media. Akina Gotv, Startimes etc even occassionally run promotions, awarding comsumers millions worth of prizes....what is Azam doing?? Are Kenyans really to blame?
 
Kwikwikwi. Huwa nacheka sana nikisikia opinions za wakenya zimejaa mihemko na mapovu juu. Jambo linaeleweka kabisa na references umepewa sasa unatoa povu jingi hivyo. Tatizo ni nini rafiki. Je, ile lens mmechungulia kila kona mmekosa?

Pole sana rafiki yangu najua moyo wako unaungua sana, hupendi mambo haya yatokee muda huu ukiwa hai, unatamani ardhi ipasuke. Yaani unatamani kabisa Azam ingekuwa ya Kenya. Hakuna namna itabidi uzoee tu.
 
Huwa naona kamsemo fulani hutumika sana na watz hapa JF, ati kudandia kichwa cha treni....sijui?

Wewe umeingilia hoja bila ya kuilewa.
 
We umeelewa kweli vile amesema ama kizungu imekupiga chenga
 

nimebeani kwamba wakenya mnapenda sana kuuziwa bidhaa on offer basis.

speaking of offers and promotions, your request/opinion was accepted and put into action since 2016.[emoji116] [emoji116] [emoji116]

una jambo lingine kuhusu azam tv kwa kenya?.
 
Azam kukua Kenya so shida.... shida no its not popular at all 1% of the market share...they should do more adverts ju Mimi nmejulia Azam hapa
 
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
unachokizungumza wewe ndicho alichozungumza mkenya mwingine.

nilimpa maelezo hapo juu.tafadhali yasome.
Azam kukua Kenya so shida.... shida no its not popular at all 1% of the market share...they should do more adverts ju Mimi nmejulia Azam hapa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Huwa nacheka sana kuona wakenya jinsi wanavyopiga ukweli. Yaani hawa watu ni wa kuwahurumia tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Azam haitambuliwi...period...kwani unataka niseme inatambuliwa ndio ufurahie...the only Tanzanian product najua Kenya in konyangi na in low quality
 
Ata mnajua kua DSTV subscription Kenya pekee in more than TZ+UG+Rwanda combined...now you know
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…