Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Iconoclastes acha kutafuta utetezi wa kijinga,unazidi kujidhalilisha kwa kuonyesha jinsi ulivyo mjinga.bora tu ungepiga kimya.

wadau tazameni wenyewe hapo chini hoja ya huyu jamaa kuhusu media za tz na jibu nililompa.
Big deal? It's the first time ever a Tanzanian media house has posted a journalist to cover an event in another country!

pole sana buda kwa kuwa na mawazo duni.hiyo ndio shida ya kukurupuka kukomenti bila kufanya uchunguzi.shame on you.[emoji23] [emoji23]

last year during the US election,azam tv, sent its best news anchor;Charles Hilary (former BBC swahili new anchor) to cover the US election.

he had different live interviews with east africans living in US.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
06cae8382cd126bfc30cbe41947ec164.jpg
a31434e0f5c9a79674996e0a4ee4858c.jpg
49078877ca7b983092863737c8e953cc.jpg
c44a97a2dbb1493e2012a693a2d9b17e.jpg
 
ila watanzania msizidishie..mshakubalika..wakenya Kwa ubunifu mtabuniwa na matusi aisee
dogo tafuta jukwaa ambalo linaendana sawa na level yako ndogo ya uelewa.this forum is too big for you to fit in.hapa hupawezi.
 
Iconoclastes acha kutafuta utetezi wa kijinga,unazidi kujidhalilisha kwa kuonyesha jinsi ulivyo mjinga.bora tu ungepiga kimya.

wadau tazameni wenyewe hapo chini hoja ya huyu jamaa kuhusu media za tz na jibu nililompa.
haya Basi.....



"Haya hongera ila kwa kweli basi mlikua nyuma sana, muda wote huu nilikua najua vyombo vyenu vya habari huwa vina wanahabari wanaotoka nje kukusanya taarifa. Yaani hata kwenye nchi za jirani zenu hamkua na wanahabari wanaofika.

Ama kwa kweli nini huwa kinawachelewesha Watanzania, huwa mnalaumu vitu vingi ikiwemo Mjerumani aliyewakoloni, mara ujamaa wa Nyerere, mara vita vya Kagera na mambo mengine mengi. Miaka 50 ya uhuru baadaye ndio mnaanza kuchomoza kichwa hadi hata kumtoa mwanahabari nje ya nchi inakua sherehe....hehehehe jameni.

Inafaa muanze kujiamini na kujitia jeuri, mtoke jameni ili kupanua uwezo wa kufikiri na kuona mengine zaidi ya Dar.
Sisi Wakenya tunakatiza Afrika yote utadhani shamba la bibi yetu. Kama ni suala la wanahabari kutoka ndio usipime, fuata makala ya "Daring Abroad - By Alex Chamwada", jinsi amezunguka dunia akikusanya taarifa za Wakenya ambao wanafanya yao nje ya nchi na kutuma hela"

MK254
 
Kama unayo studio ya kuringanisha na azam tv leta kama huna basi pumzika bro😀😀😀😀😀
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Yaani hawajapata la kuongeza hapa maana ni aibu kuleta hoja eti Azam ina mtangazaji Kenya!!! Hata South Africa pekee hamjafika???
😀😀😀😀 Wanjala punguza speed hahahah unayo studio ya kuringanisha na azam studio
 
AZAM display yake ni kama Kyeni TV Kenya, Na hii ni ya vijijini!!
hqdefault.jpg

Yaani hata haiwezi fika Inooro, also a village TV

inooro2.jpg
wewe weka photo za facilities za TV za kenya wacha kutema povu.

kumbuka i'm using to respect you as my Kenyan brother from another mother.don't allow this thread destroy your credibility. we need to see advanced broadcasting facilities owned by Kenyan TV as compared to azam TV.
 
wewe weka photo za facilities za TV za kenya wacha kutema povu.

kumbuka i'm using to respect you as my Kenyan brother from another mother.don't allow this thread destroy your credibility. we need to see advanced broadcasting facilities owned by Kenyan TV as compared to azam TV.
Aiii! Kadoda11 really?? Can you ask that? Wewe mwenyewe umeona hapa tu, presenter wa Azam kuja Kenya imekuwa taarifa, TV za Kenya zina resident reporters in all 52 African states, unaona kama hapo utalinganisha nini??
 
Back
Top Bottom