Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
you just proved to yourself how dumb you are. you have inferiority complex. how do you compare regional media giants to azam juice man.katika wakenya wote vilaza,wewe lewis umevunja record hata wenzako wanakucheka.
unalingalisha uwingi wa online followers wa TV za kenya zilioanza miaka mingi na azam TV iliyoanza juzi tu mwaka 2013?.SMH.
tazama vizuri hizi image.
Azam tv launched in 2013![]()
ktn launched in 1990![]()
Ntv launched in 1999![]()
citizen TV launched 1999![]()
sikufahamu kuwa azam TV yenye miaka mitano tu ktk soko,inazizidi TV kongwe za Kenya ktk ubora.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Google Translate: Azam bado ni changa sana,,, chaaanga yaani changa. bado ndio anaanza kutambaa. kama vipi,, ipee miaka kama hamsini ndio pengine labda itafikia stesheni za Kenya. la sivyo, ibaki kuendelea kuuza juice