kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
- Thread starter
- #361
Lewis254 naona unahangaika kurusha ngumi hewani peke yako.wanzako wote wamekukimbia.
ngoja nikupe assignment ndogo.najua wewe ni jasiri,hutoshindwa.
kuna TV station hapo kenya ina own DIGISUPER LENS?.leta picha kama ipo, kama hamna wewe ni kilaza.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
![]()
![]()
najua hujui kitu kuhusu DIGISUPER SUPER LENS,acha nikurahisishie mazingira rafiki ya ku-google.[emoji673] [emoji673] [emoji673] What is a Canon Digisuper lens and why is it $200,000+?
saadeque nimefurahi kukuona ktk topic hii.
nina assignment ndogo wenzako wote wameshindwa kuikamilisha.wanaishia tu kurusha maneno na ngumi hewani.
assignment yangu ipo hapo juu,najua wewe ni kijana jasiri mkenya,hutokubali kushindwa ili kuepusha aibu Miongoni mwa wakenya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]