Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

sio domo chake kwel kwel...hehe..huyu mpeleke pole pole...kiingereza kigumu kwake
Yani bro kisa studio ndio povu hvo usifanye niamini plz yani studio ya azam tu please heehehhehhehhe bro pumzika najua hujiskii vzr😀😀😀😀😀😀
 
Yani bro kisa studio ndio povu hvo usifanye niamini plz yani studio ya azam tu please heehehhehhehhe bro pumzika najua hujiskii vzr😀😀😀😀😀😀
studio tumeshinda..sio? mambo ya kuimba azam tv kila uchao..kwengine mnatumia stool kutangaza habari...heheheh...azam tv lakini iko poa bro..yaani mkuu wa citizen anaeza aka nunua stesheni zote za kitanzania na asiwe ameskia chochote mfukoni
 
uko hapo bado...hehe yaani unafurahisha...hya subiri nakuletea picha
Huna picha wewe.uitoe wapi?.google imeshindwa kukusadia.hahahahaha.

kwa jinsi wakenya msivopenda kudhalilidhwa na watz,I swear hiyo pic ingekuwepo mngesha ileta.

DIGISUPER lens east Africa zipo mbili tu,na zote zinamilikiwa na azam TV.period
 
azam kitu gani wakati jumba lao kuu ni kibanda cha makuti...
 
studio tumeshinda..sio? mambo ya kuimba azam tv kila uchao..kwengine mnatumia stool kutangaza habari...heheheh...azam tv lakini iko poa bro..yaani mkuu wa citizen anaeza aka nunua stesheni zote za kitanzania na asiwe ameskia chochote mfukoni
Anhhh brooo basi pumzika mbona povu hvo studio tu ndo unabadilika hvo acha hizo pumzika kaka povu kwa Siku ya leo inatosha😀😀😀😀😀
 
Sikatai mkuu azam wanakuja vizuri ila kwa mtazamo wangu bado itv inakimbiza kwenye news programing hata scope yao ya coverage iko so wide na unaondoka ukiwa umeshiba,azam nawakubali kwenye sports ila news (local) bulletins ITV anawavusha,ni kweli ukongwe dawa,azam akazane zaidi kwa spidi hii karibu atamkuta
Asante kwa comment yako mkuu.karibu sana.

kuna assignment ndogo nimewapa hawa wakenya wa hapa jf.mpaka sasa hivi hawajaikamilisha.na Nina hakika hawatakuja kuikamilisha.acha niwasikilizie kwanza.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Leo tumewashika pabaya sana naona wengine mapovu mpka maskioni wengine mpaka wamevua nguo😀😀😀😀
 
Asante kwa comment yako mkuu.karibu sana.

kuna assignment ndogo nimewapa hawa wakenya wa hapa jf.mpaka sasa hivi hawajaikamilisha.na Nina hakika hawatakuja kuikamilisha.acha niwasikilizie kwanza.
hehe assignment...mtanzania huwa anashikilia kitu kimoja kwenye argument...be diverse bana...
 
Anhhh brooo basi pumzika mbona povu hvo studio tu ndo unabadilika hvo acha hizo pumzika kaka povu kwa Siku ya leo inatosha😀😀😀😀😀
mbona unalia ukiomba msamaha sasa?
lolz. duh!
 
hehe assignment...mtanzania huwa anashikilia kitu kimoja kwenye argument...be diverse bana...
Ichoboy anasema pumzika ili kesho asubuhi uwahi kuamka kupanda matatu kwenda job.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pumzika basi budaa yani studio tu ndio tuvunje urafiki hehehehhehhe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Back
Top Bottom