Uchaguzi Kenya: Azam TV yatuma reporter wa kuripoti uchaguzi huo

Ichoboy anasema pumzika ili kesho asubuhi uwahi kuamka kupanda matatu kwenda job.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
matatu ina shida gani? anyw, mimi naeza nikakugawia ploti kadhaa na magari kadhaa...self-emplyed...sina shida na kusaidia maskini... hehehe...umesahau per capita ya kenya ni mara mbili ya bongo...
 
Pumzika basi budaa yani studio tu ndio tuvunje urafiki hehehehhehhe
Mwanza vs Eldoret uliomba msamaha. hapa pia unalia ukiomba msamaha. pole sana. kaa ukijua kwamba nyinyi nyote mko chini sana. hauezi compare Kenya na Ldc country kama danganyika. you get massacred mercilessly everywhere you go. you need to quit. kama hujaelewa kiingereza pole. i use both languages
 
aisee wakenya sio mchezo mchezo...tunakuja tuna colonize watu kwa jukwaa chao...
 
Mwanza vs Eldoret uliomba msamaha. hapa pia unalia ukiomba msamaha. pole sana. kaa ukijua kwamba nyinyi nyote mko chini sana. hauezi compare Kenya na Ldc country kama danganyika. you get massacred mercilessly everywhere you go. you need to quit. kama hujaelewa kiingereza pole. i use both languages
hahaha....LDC country...subiri aka translate hiyo kiingereza umeangusha hapo...
 
Eti eldoret unafkiri kwa moshi itatoboa hio eldoret kama uko safi anzisha eldoret na moshi alaf uone 😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Unajua hakuna kitu kibaya kama kukamatwa kwenye makende hhehehhe panauma hapo hahahhahahahhahaha😀🙂🙂🙂😀😀😀😀
 
kesho hii media battle kuhusu kenya na tz itaendelea.

I hope nikiamka nitakuta wakenya wamekamilisha assignment yangu.

I need to see photos showing CANON DIGISUPER lens owned by Kenyan TV stations and used by kenyan local camera operators in kenyan broadcasting environment.
 
Unajua hakuna kitu kibaya kama kukamatwa kwenye makende hhehehhe panauma hapo hahahhahahahhahaha😀🙂🙂🙂😀😀😀😀
hehe...haya umenikamata basi...nadhani wewe ni shoga...mbona una sisitiza sana mambo hayo...hehe...bro...alafu mtu akishindwa huwa haombi msamaha hapa kule...where is your dignity?
 
Asante kwa comment yako mkuu.karibu sana.

kuna assignment ndogo nimewapa hawa wakenya wa hapa jf.mpaka sasa hivi hawajaikamilisha.na Nina hakika hawatakuja kuikamilisha.acha niwasikilizie kwanza.
Na wanafahamu viwango vya vifaa azam havina kifani,wamekula kona watakuwa wame Google wakakosa[emoji51]
 
kesho hii media battle kuhusu kenya na tz itaendelea.

I hope nikiamka nitakuta wakenya wamekamilisha assignment yangu.

I need to see photos showing CANON DIGISUPER lens owned by Kenyan TV stations and used by kenyan local camera operators in kenyan broadcasting environments.
hehe kalale kidonda...
 
Eti eldoret unafkiri kwa moshi itatoboa hio eldoret kama uko safi anzisha eldoret na moshi alaf uone 😀😀😀😀😀😀😀😀
ulikubali kushindwa kwa Eldoret na Mwanza... sasa Moshi ni ile utoka baada ya nyinyi kupika na makaa au? wacheni kukata miti
 
Back
Top Bottom