Sisi CHADEMA tunaamini kabisa Uhuru Kenyata na serikali yake ya JUBILEE ni wanademokrasia kabisa.
Udikteta wa mauaji ya Chriss Msando manager wa ICT wa tume ya Uchaguzi Kenya siku tisa kabla ya uchaguzi wa August. Kuna Dictator asiyejulikana huko?
Dr Akombe akimbia Tume na kutorokea USA siku 8 kabla ya uchaguzi wa marudio wa tarh 26 October na kuapa kutorudi Kenya hivi karibuni - Kuna Dictator asiyejulikana Kenya?
Ugua Pole Kamanda Tundu Lissu huko Nairobi - Upo kwenye nchi ya demokrasia kwelikweli sio kama kwetu kwenye "udikteta uchwara"
Tunamshukuru LOWASA kutufundisha na kutuonesha chama rafiki huko Kenya.