malisoka
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,860
- 2,636
Kama kweli uhuru amefanya njama hizo, ameingilia uhuru wa mahakama. hana tofauti na wale watu wanaofanya maandamano mabarabarani na kufanya vurugu. Kama mahakama ingeamua labda watu wangepata haki yao.
Siku hazigandi baada ya kuchaguliwa. Mchezo utarudi pale pale. kwamba matakwa ya mahakama hayakufuatwa.
Siku hazigandi baada ya kuchaguliwa. Mchezo utarudi pale pale. kwamba matakwa ya mahakama hayakufuatwa.