Uchaguzi Kenya: Wapinzani waungana tena

Kalonzo Musyoka is a crafty guy...
Anatakiwa kuonwa na macho zote..
Alimditch mwenzie akala u vice president fasta.
 
That's because alikuwa Shule.. Boy WA high school

naona unawashwa makalio,unataka nije kukukuna asap.

please if you meet with my girlfriend Depay ,tell her that she does not need to avoid me cos I've already changed my altitude. I'm no longer a bad boy like I used to be.
 
naona unawashwa makalio,unataka nije kukukuna asap.

please if you meet with my girlfriend Depay ,tell her that she does not need to avoid me cos I've already changed my altitude. I'm no longer a bad boy like I used to be.
Aibu sana... Ushoga wako usiniletee mimi
 
Aibu sana... Ushoga wako usiniletee mimi
I like it when a chick yell at me that way....it's a good way for her to release anger.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unaongea kitu gani wakati hao Wapinzani wenyewe wameungana makabila flani kupinga mengine. Siasa za ukabila Kenya haziwezi kwisha leo
 

Kenya sasa hivi hakuna wa kumnyooshea mwengine kuhusu ukabila, tatizo unafiki ndio zetu. Nyie hapo kwenye upinzani juzi mumemtawaza kiongozi na msemaji wa kabila bwana Mudavadi, ambaye kuna uwezekano akawa ndiye atakayelipeperusha bendera lenu, leo hii mnanyoosha kidole na kutaja ukabila.

Ukabila Kenya ulianza hata kabla ya kunyakua uhuru, mkoloni aliwagawa mababu zetu kwa misingi ya kikabila, wakati anakuja kuachia nchi, tayari kulikua na mgawanyiko. Waasisi wa Kenya nao wakaendeleza na siye vizazi vya leo tukapokea na tupo mbioni kuwapokeza watoto wetu.

Rais wa nchi ni kioo cha tulivyo, viongozi wetu wapo jinsi tulivyo. Hakuna anayeweza kushinda urais Kenya bila kucheza michezo ya ukabila. Hata huyu Uhuru na Ruto walicheza hayo ya ukabila hadi wakafika hapo. Upinzani umekua ukijaribu kucheza ukabila ule wao wa 40 against 2, yaani ukabila ni kansa iliyo dani ya damu yetu na itabidi tuishi vivyo hivyo. Hata Wakenya kama nyie mlio huko ughaibuni ndio wakabila mwanzo mwisho, mumejigawa na kuishi kwa misingi ya ukabila.

Aidha tukubali huu ugonjwa utumalize sote au turekebishe.
 
Problem is we see scandals by passing judgments first, asking anyone to show you what Mudavadi has been accused of kinda looks like an insult to Kenyans intelligence; court records have the answer for that
Well I still havent seen any mentions of scandals here just you trying to change the story
 
This people in NASA are the same old guys from the KANU eraView attachment 459350

Seems like umezaliwa juzi au mchanga sana kisiasa!!! uhuru amekua miguu na kichwa ndani ya Kanu mpaka akwawa chairman kabla anze kutapatapa kwa vyama!!

Kanu chairman Uhuru Kenyatta during the 2008 National Delegates Conference. Photo/FILE



Moi endorsing Uhuru.

na arap mashamba karasinga ruto amekua kanu tangu 90S na kumsadia Moi kurape economy wakiwa na bwana jirongo!!! na kanu outfit ya YK92 where they printed fake money causing unseen inflation in kenya. kweli wewe mchanga haya mambo!!!





 
Hehehe..ati sasa Raila na wenzake ndio reformists; Siwezi hata siku moja kupigia kura chama kinachongozwa na Raila Odinga. afadhali Uhuru aongoze kwa miaka thelathini kuliko kuongozwa na Raila odinga na nusu mkate boys band.
 
I wanted to compile a rather long rebuttal to your claim, along with a detailed list of the graft scandals in which each of these key NASA leaders have been linked to. But I think that would be more than u deserve.
You are stylishly feigning ignorance about the numerous graft allegations against these NASA opposition alliance luminaries, and that is very unfortunate. But, that is the nature of Kenyan politics. Wakenya ni watu ambao hawataki kuona ukweli kuhusu hawa waheshimiwa wapendao. No matter what, they would still support them. They make angels out of them even aftre clear evidence implicating them in some very grievous offense are presented to them.

You failed to read my comments objectively, but instead jumped into conclusion that I support JAP while opposing NASA. I think I tend to criticize NASA more bcos.....well, they are the opposition party, fighting to rise to the helm by presenting themselves as the better, cleaner alternative to the govt currently in power. And many Kenyans like u seem seem to believe them. No wonder u have been running riots all over this board blaming Jubilee for this and that (including that freaky NAivasha Lorry accident).
You have have chosen to forget that these pipo were once in govt, held some very powerful positions in which their incompetence in sorting out the myriad of problems facing Kenyans......such as corruption and improvements in social welfare were made apparent. And here u are, lobbying to elevate them to the next level of incompetence!

Sam, remember the Cemetary land saga? Tokyo Embassy, Kazi kwa vijana, a string of allegetions about land grabs in Ukambani, troubles at the Mumias, Mollases plant.......they are just too many. They were involved in these scams when they were in govt, what would stop them from repeating the same, engaging in some even greater thefts while in power? You surely cant pretend to be unaware of all these things, bwana Sam.
I beg u to understand that there is nowhere I have ever presented the Jubilee politicians in positive light. I personally think that they are rotten to the core, and I think I have several times expressed here my deep revulsion for the Deputy President. I'd rather Uhuru led Kenya for the next 30yrs but never that that man.

All I have been saying is, if Kenyans are genuinely concerned about the run-away corruption and the widening gap btwn the rich and the poor in Kenya, the solution is not NASA.
Surely, they are the same set of politicians who have served in the previous regimes that led Kenya to the mess it is in now. They are still the same old politicians with the same old ways of doing things.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…