Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
I heard them saying they are going for a consensus, Like the four Nairobi gubernatorial aspirants who said they are going to work on how they can share the posts! I don't bu t if they can do it! Why not CORDThere was infighting jubilee too
Kula kwa Laila kiti kwa uhuluto,Kenya raha jamani tuache utani wapinzani wana raha wanaongea swafi hadi stress zao zinaisha wana sema Jubilee imeiba pesa kuliko serikali zote zilizowaji ongoza Kenya ufisadi wizi miradi hewa.
Gharama za rail mpya kutoka mombasa to Nairobi ni kubwa sana ambapo Morocco same amount wamejenga rail na kununua bullet train ambayo ndio yenye kasi Africa nzima.
Hivi nasi tujaribu kicompire miradi yetu au nasi tumeibiwa kama wakenya... Kenya wamekopa pesa nyingi kwa ajili ya miradi ambayo kipindi hiki ndio Jubilee inatakiwa kuionesha ni hewa wameanza kujenga madaraja ya wapita kwa miguu na raisi anayazindua haha. Miafrica ndio tulivyo.
Tatizo la upinzani Kenya ni baada ya huo muungano wanasema hawataki kuona kiongozi Wa upinzani anaondoka kwenye siasa tamaa tu kumbe.
System ni ile ile yaani hadi Kanu naye kajiunga umoja Wa wapinzani wakiupa kwa jina la NASA.
Uchaguzi Wa Kenya utakuwa sio tena Wa kieletronic baada ya upinzani kung'ang'ania ubaki lakini Kenyatta usiku ikulu kwake akasaini Sheria ya kuhesabu kura kwa mikono.
Nawatakia kampuni salama na uchaguzi salama na Wa Amani.
Kenya oyeee
hi dr. job.
good to see that you are back after such a long time of silence.
last time i saw you being active on JF,was in 2014-2015.
karibu tena jamvini.
CC Geza Ulole Kimweri
What does this guy smoke?...Jesus!!!When Uhuru Kenyatta was in ODM in 2006 eating Teargas with Raila he didnt see anything wrong with Demos
Now he is president He faults the OG of demos
Smh!!View attachment 458854
he smokes the special kind of weed... I think he has one of those mental disorders that come only when the moon is closest to earth (i think its usually mid month) ... its a real disoder, I know a neighbour who used to have it..... .. someone should mark the calender on all the days he did something insane..... sometimes he says things and speakes eloquently and articulate his issues and make perfect sense. then mara nyingine utafikiri ni dople ganger wake ndo ako kwa hio possitionWhat does this guy smoke?...Jesus!!!
Yes...that is urs/ media interpretationThe infighting in Jubilee is not between Uhuru and Ruto on who should address last or who should be the senior. That's already sorted out, their fights is on lieutenants and limited to that.
Right now in NASA, each of those protagonists has an army of supporters who are waiting impatiently for their own to be named as the flag bearer and are getting jittery when seeing their preferred leader treated less equal when protocols are being observed.
It's a complicated quagmire that needs sorting out.
He is Talking about Uhuruhe smokes the special kind of weed... I think he has one of those mental disorders that come only when the moon is closest to earth (i think its usually mid month) ... its a real disoder, I know a neighbour who used to have it..... .. someone should mark the calender on all the days he did something insane..... sometimes he says things and speakes eloquently and articulate his issues and make perfect sense. then mara nyingine utafikiri ni dople ganger wake ndo ako kwa hio possition
Yes...that is urs/ media interpretation
Mnaona Wetangula ameongea kabla Ya Mudavadi mnaanza ku draw ur own conclusions
View attachment 459911
Anyway Maybe i dnt know..May be they are confused ..atleast they are Taking their time to Agree on who they want to be their leader ..
yes, am talking about the same personHe is Talking about Uhuru
If Jubilee register 10mn scratch that if they register 8mn hakuna haja ya elections They have already won!!...I did not know wanapea kils mse thought ni za aspirants pekee- shiet wamejipanga kweli kweli
Because they have MONEY MONEY MONEY,...stolen and accumulated from EUROBOND,NYS,etc etc.....money talks, thats why you see their venues and expensive cards etc.
There was infighting jubilee too
Kenya sasa hivi hakuna wa kumnyooshea mwengine kuhusu ukabila, tatizo unafiki ndio zetu. Nyie hapo kwenye upinzani juzi mumemtawaza kiongozi na msemaji wa kabila bwana Mudavadi, ambaye kuna uwezekano akawa ndiye atakayelipeperusha bendera lenu, leo hii mnanyoosha kidole na kutaja ukabila.
Ukabila Kenya ulianza hata kabla ya kunyakua uhuru, mkoloni aliwagawa mababu zetu kwa misingi ya kikabila, wakati anakuja kuachia nchi, tayari kulikua na mgawanyiko. Waasisi wa Kenya nao wakaendeleza na siye vizazi vya leo tukapokea na tupo mbioni kuwapokeza watoto wetu.
Rais wa nchi ni kioo cha tulivyo, viongozi wetu wapo jinsi tulivyo. Hakuna anayeweza kushinda urais Kenya bila kucheza michezo ya ukabila. Hata huyu Uhuru na Ruto walicheza hayo ya ukabila hadi wakafika hapo. Upinzani umekua ukijaribu kucheza ukabila ule wao wa 40 against 2, yaani ukabila ni kansa iliyo dani ya damu yetu na itabidi tuishi vivyo hivyo. Hata Wakenya kama nyie mlio huko ughaibuni ndio wakabila mwanzo mwisho, mumejigawa na kuishi kwa misingi ya ukabila.
Aidha tukubali huu ugonjwa utumalize sote au turekebishe.
Wee ishia kupiga kelele au nduruu kwa kusema pesa pesa or rather money money, that won't cause Jubilee any headache, wee endelea na kelele wakati wenzio wanatwa ushindi kilaini sana 2017
Ni kweli,lakini nikutaarifu tu wakikuyu wanaipenda lugha yao sana kupita kiasi hadi kero.
Mara nyingi ndio wenye idadi kubwa kwahivyo lazima wawe trend setters.
Wakiwa wakabila basi wenzao pia hufuata nyayo......yaani action leads to a reaction.....kind of leadership thing.
Utawapata mara nyingi wakiliongea kila kwenye mkusanyiko wa wakenya,hii uwatenga wenzao wasio wenye asili ya kilugha.
Hapo ndipo mgawanyiko huanza na wengine kujitenga pia kwa makundi yao.
Walio wengi mwisho wa siku ndio wenye ushawishi.
Kama tu ilivyo katika demokrasia.
Huwa natafakari sana,kungekuaje kama wangelikumbatia lugha ya kiswahili?....makabila yote madogo yange fuata nyayo.
Ni hayo tu!...nawatakia uchaguzi mwema ila msichinjane!ππ!..msijemkatutia aibu tena kama vile ule mwaka ...nakumbuka nilivyokua naaibika mbele ya wazungu weusi/weupe yaani CNN live stream mnachinjana na kuonesha uchi wenu live aaaargh!...ilinibidi niufiche uso wangu kwa takriban mwezi mmoja hivi....wale wanakutazama machoni na kukuita tribal/ethnic village human..hahaha!
Very primitive!
he smokes the special kind of weed... I think he has one of those mental disorders that come only when the moon is closest to earth (i think its usually mid month) ... its a real disoder, I know a neighbour who used to have it..... .. someone should mark the calender on all the days he did something insane..... sometimes he says things and speakes eloquently and articulate his issues and make perfect sense. then mara nyingine utafikiri ni dople ganger wake ndo ako kwa hio possition