Uchaguzi KENYA

Uchaguzi KENYA

Sparkle boy

Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
75
Reaction score
8
James Kiyiapi,Peter Keneth,Mwalimu(ARK),Martha,Mohamed,Uhuru Kenyata,Mudavada,Raila unadhani mshindi nani na kwanini?
 
Niraisi atakae ondoa ukabila,nae sie mwingine raila,siasa za udini na ukabila sio nzuri na ndio maana raila hua anamnukuu nyerere mara kwa mara,kwani mzee nxerere alijenga msing wa Tanzania kwa umakini mkubwa kuliko kenyata na kenya yake,sasa mtoto wake ataweza kua na mbinu mbadala kusinda baba yake?raila ndio sumu ya ukabila kenya plz tumuombee kwa ndini zote hata kama hamna dini ombeni vivyo hivyo
 
Back
Top Bottom