Najuwa wengi wamesha chafuka mavumbi najuwa wengi watapiga bia nyingi majumbani mwao nakulala maana kile kimetokea kule dodoma kimewavuruga woote.
Sitaki saana kuwandika ila wakati wote intelligence huwanda sanaa na michezo ya sarakasi kuwavuruga kuanzia watawala na watawaliwa. Yes ni michezo mizuri na inalenga kazi maalumu walizo peana kwa kila unit Yes.
Shambulizi lina andaliwa ndani ya mkutano na lina zimwa ndani ya mkutano na tukitoka kila mtu anarudi 🔕 🤫 yes.
Sio kama tunavyo ona ila nikama tuonavyo na mimi sitaki kusema sana mengi yamesha semwa. Code zipo ofisi kubwa na ningumu kuzifungua unles una watu ndani ya team walio jitoa muhanga kufa kwa kutoa code yes ukitoa wanamalizana na wewe.
Democrasia ni neno zuri na lapendeza sana ila sio kama tunavyo ona vitu vimewekwa kwa mipango na code zilizo pangika. Yale tumeyaona lazima yatokee ili kuuthibitisha umma hata mwenda zake hakuwa yeye ila wao hivyo tupunguze hisia.
Nini unashanga au nini una laani hakijatokea au kimetokea hukukipenda then ask cia yes ask cia wakwambie nini walikifanya kule Usa mwaka jana kwenye uchaguzi wa Urais. Wadukuzi walidukua data na walikuwa wakitamani Joe arudi yes walitamani sana na walijuwa hivyo na alipita ila nataka nikukumbushe baada ya jina kupita na wazee wakudukua kuwa wamesha set kila kitu kuelekea uchaguzi kati kati ya mchezo mara Biden kaanguka mara ana upa upepo mkono na mwisho ikazuka minong'ono hawezi endelea kwenye kampen watu wakapiga shngwe akachaguliwa mwana mama Ambaye ndie mgombea mwenza Kamala Harris.
Ngoma ikawa ni kati ya kamala na Mwamba Trump viumbe vya cia vikiwa nauwakika Trump lazima ashinde while wadukuz wakitamani Kamala ila wasingeweza kutokana na mabadiliko ya ghafla ikawa ni hasara kwa wadukuzi while cia nyuma yapazia wakiucheka wakati.
Mchezo hule ndio umechezwa leo japo utakuwa kwa namna ya tofauti sana. Siwezi andika sana ila mchezo wa leo umewapoteza maboya watia nia ndani ya ccm yaani wamepatwa na shork yes haikuwa rahisi ila hizi ni dalili tu za mvua ila mbele kuna kazi nzito kama ilivyokuwa nzito kwenye kikao cha secret 🙊 kuja na jina la Mwinyi na Samia. Mpaka walipo funguana code
Hii picha bado ni kali sana mithili ya picha zakijasusi. Tunakupa kile unakitaka kisha tunakuja nakile sisi tunakitaka kwenye wakati huku utegemea.
Kaz nikusikiliza reaction ya wananchi pitia vyombo mbali mbali mwisho kufanya vile wanataka. Mimi naita sanaa ya ujasusi ambayo ndio kwa sasa ipo duniani. Rais ni taasisi sio mtu mkumbuke hilo.
Picha na sarakasi zimepita na kile wajuvi wamambo tumekijuwa ndicho kimetokea kachero ndio atachukua nchi. Namba mbili amekuwa smart akijuwa what next mwenzake kaendela ila wanajuwa wenyewe ila hayo mapicha mtamalizana nayo wenyewe deal done