Umepita mulemule. Umemaliza kila kitu. Uzi UFUNGWE!Kusahau historia ni tatizo jingine.
Tz kupiga kura ni kupoteza muda
Ova
Hoja siyo kupiga kura. Wait first until the votes are tallied. Wekeni akiba ya maneno.Malawi, Zambia, Kenya washatuacha hivo hata maendeleo watawahi kuyafikia, uchaguzi sio zoezi la kutoana roho Kenya wameonesha hilo na tume yao ipigiwe mfano ina uwazi wa kutosha
Hoja siyo kupiga kura. Wait first until the votes are tallied. Wekeni akiba ya maneno.
Umenena vyema, ndo maana hata Maasai wa Ngorongoro wamehama kwa amani, na hawana la kufanya kabisa!!Tanzania ndio iliwafundisha wakenya ustaarabu.
Walikua hawachaguani bila kuuana.
Na tayari Mbunge huko keshapiga mtu risasi.
Ukizungumza ustaarabu hapa Afrika Mashariki Tanzania tunaongoza.
Soma hiyoUstaarabu unapimwa kwa mambo mengi. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu kiwango cha maendeleo ya binadamu hupimwa kwa maendeleo ya ustaarabu, utu, kuthamini uhai na ustawi wa binadamu mwenzake.
Wale tuliofatilia kuanzia mchakato wa kampeni, kupitishwa wagombea na hata leo Uchaguzi mkuu ni wazi tutasema kwa kauli moja tuna la kujifunza.
Kenya iko level nyingine kabisa ya kiwango cha siasa za kidemokrasia. Sijui majirani Uganda na Rwanda wanajifunza nini.
Itoshe kusema tu Kenya wako mbele mile 1000
Kenya imeshawapita ustaarabu na maendeleo piaTanzania ndio iliwafundisha wakenya ustaarabu.
Walikua hawachaguani bila kuuana.
Na tayari Mbunge huko keshapiga mtu risasi.
Ukizungumza ustaarabu hapa Afrika Mashariki Tanzania tunaongoza.
Kwa lipiAlaaniwe john joseph pombe magufuli.
Ustaarabu unaazia kuiheshimu katiba yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania ndio iliwafundisha wakenya ustaarabu.
Walikua hawachaguani bila kuuana.
Na tayari Mbunge huko keshapiga mtu risasi.
Ukizungumza ustaarabu hapa Afrika Mashariki Tanzania tunaongoza.
Kwa mambo mabaya na ya kishetani aliyoifanyia Tanzania. Narudia tena alaaniwe !Kwa lipi
Malawi, Zambia, Kenya washatuacha hivo hata maendeleo watawahi kuyafikia, uchaguzi sio zoezi la kutoana roho Kenya wameonesha hilo na tume yao ipigiwe mfano ina uwazi wa kutosha
Tanzania ndio iliwafundisha wakenya ustaarabu.
Walikua hawachaguani bila kuuana.
Na tayari Mbunge huko keshapiga mtu risasi.
Ukizungumza ustaarabu hapa Afrika Mashariki Tanzania tunaongoza.
Unawataja majirani Rwanda na Uganda, na Tz unaiweka wapi? Sisi ndio wenye kuhitaji somo kubwa zaidi hapo. Demokrasia kwetu bado ni msamiati mgumu!Ustaarabu unapimwa kwa mambo mengi. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu kiwango cha maendeleo ya binadamu hupimwa kwa maendeleo ya ustaarabu, utu, kuthamini uhai na ustawi wa binadamu mwenzake.
Wale tuliofatilia kuanzia mchakato wa kampeni, kupitishwa wagombea na hata leo Uchaguzi mkuu ni wazi tutasema kwa kauli moja tuna la kujifunza.
Kenya iko level nyingine kabisa ya kiwango cha siasa za kidemokrasia. Sijui majirani Uganda na Rwanda wanajifunza nini.
Itoshe kusema tu Kenya wako mbele mile 1000
Unabisha nini sasa? Ukweli Usemwe!How? Kenya imekuwa mfano bora leo kuliko Tanzania? Tumejikwaa wapi?
Nakubali kenya ni Ulaya ya afrikaUnabisha nini sasa? Ukweli Usemwe!
Kumbe kutoka Uganda na alshabaab? Nilijua polisi wa kenya wamebeba masandukuKuna mtu kapigwa risasi na mgombea ubunge, kura feki zimekamatwa zimeshapigwa, wagombea feki kutoka Uganda wamekamatwa wengine wamekimbia, Kuna sehemu alshabab wamezuia watu kupiga kura matukio ni mengi
Na wale waliobeba masanduku unasemaje? Na Neck kupora fomu za wagombea?Tatizo wengine kama chadema haijashinda basi siyo ustaarabu.
🤣 🤣 🤣