Kenya 2022 Uchaguzi kwaa majirani zetu tangu kampeni hadi uchaguzi kuna mtu kafungwa, kutekwa, kubambikiwa kesi na hata kupigwa risasi? Je leo internet imezimwa?

Kenya 2022 General Election
Tz kupiga kura ni kupoteza muda

Ova

Malawi, Zambia, Kenya washatuacha hivo hata maendeleo watawahi kuyafikia, uchaguzi sio zoezi la kutoana roho Kenya wameonesha hilo na tume yao ipigiwe mfano ina uwazi wa kutosha
 
Hoja siyo kupiga kura. Wait first until the votes are tallied. Wekeni akiba ya maneno.
 
Tanzania ndio iliwafundisha wakenya ustaarabu.

Walikua hawachaguani bila kuuana.

Na tayari Mbunge huko keshapiga mtu risasi.

Ukizungumza ustaarabu hapa Afrika Mashariki Tanzania tunaongoza.
 
Umenena vyema, ndo maana hata Maasai wa Ngorongoro wamehama kwa amani, na hawana la kufanya kabisa!!

Hii ni kwa sababu katiba yetu ni nzuri sana kuliko nchi yeyote Africa.
 
Ustaarabu unapimwa kwa mambo mengi. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu kiwango cha maendeleo ya binadamu hupimwa kwa maendeleo ya ustaarabu, utu, kuthamini uhai na ustawi wa binadamu mwenzake.

Wale tuliofatilia kuanzia mchakato wa kampeni, kupitishwa wagombea na hata leo Uchaguzi mkuu ni wazi tutasema kwa kauli moja tuna la kujifunza.

Kenya iko level nyingine kabisa ya kiwango cha siasa za kidemokrasia. Sijui majirani Uganda na Rwanda wanajifunza nini.

Itoshe kusema tu Kenya wako mbele mile 1000
Soma hiyo
 
Tanzania ndio iliwafundisha wakenya ustaarabu.

Walikua hawachaguani bila kuuana.

Na tayari Mbunge huko keshapiga mtu risasi.

Ukizungumza ustaarabu hapa Afrika Mashariki Tanzania tunaongoza.
Kenya imeshawapita ustaarabu na maendeleo pia
 
Tanzania ndio iliwafundisha wakenya ustaarabu.

Walikua hawachaguani bila kuuana.

Na tayari Mbunge huko keshapiga mtu risasi.

Ukizungumza ustaarabu hapa Afrika Mashariki Tanzania tunaongoza.
Ustaarabu unaazia kuiheshimu katiba yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Malawi, Zambia, Kenya washatuacha hivo hata maendeleo watawahi kuyafikia, uchaguzi sio zoezi la kutoana roho Kenya wameonesha hilo na tume yao ipigiwe mfano ina uwazi wa kutosha

Kwani mshindi amesha tangazwa??
Kupiga kura ni jambo moja na kutangaza matokeo ni jambo lingine, lkn yote ni UCHAGUZI.
Subiria mpaka mwisho ndiyo utoe tathimini yako.
 
Tanzania ndio iliwafundisha wakenya ustaarabu.

Walikua hawachaguani bila kuuana.

Na tayari Mbunge huko keshapiga mtu risasi.

Ukizungumza ustaarabu hapa Afrika Mashariki Tanzania tunaongoza.

Tatizo wengine kama chadema haijashinda basi siyo ustaarabu.
🤣 🤣 🤣
 
Ustaarabu unapimwa kwa mambo mengi. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu kiwango cha maendeleo ya binadamu hupimwa kwa maendeleo ya ustaarabu, utu, kuthamini uhai na ustawi wa binadamu mwenzake.

Wale tuliofatilia kuanzia mchakato wa kampeni, kupitishwa wagombea na hata leo Uchaguzi mkuu ni wazi tutasema kwa kauli moja tuna la kujifunza.

Kenya iko level nyingine kabisa ya kiwango cha siasa za kidemokrasia. Sijui majirani Uganda na Rwanda wanajifunza nini.

Itoshe kusema tu Kenya wako mbele mile 1000
Unawataja majirani Rwanda na Uganda, na Tz unaiweka wapi? Sisi ndio wenye kuhitaji somo kubwa zaidi hapo. Demokrasia kwetu bado ni msamiati mgumu!
 
Kuna mtu kapigwa risasi na mgombea ubunge, kura feki zimekamatwa zimeshapigwa, wagombea feki kutoka Uganda wamekamatwa wengine wamekimbia, Kuna sehemu alshabab wamezuia watu kupiga kura matukio ni mengi
 
Kumbe kutoka Uganda na alshabaab? Nilijua polisi wa kenya wamebeba masanduku
 
Back
Top Bottom