Kenya 2022 Uchaguzi kwaa majirani zetu tangu kampeni hadi uchaguzi kuna mtu kafungwa, kutekwa, kubambikiwa kesi na hata kupigwa risasi? Je leo internet imezimwa?

Kenya 2022 General Election
  • Taarifa iwafikie NEC, Polisi Tz, Jumuiya ya Wazazi - CCM, UVCCM.
  • Incompetent wanapokuwa kwenye uongozi na tena uchaguzi; lazima watumie manguvu kwani nguvu ndio mbadala wa akili.
 
Uchaguzi wa kwa majirani Kenya. Je kuna mtu kafungwa ?, kuna mtu katekwa ? Kuna mtu kakosea kujaza form na kukatwa, kuna waziri kapita bila kupingwa ?! kuna mtu kabambikiwa kesi au hata mtu kapiwa risasi ? Kuna wanajeshi wamevaa nguo za polisi na kupiga watu ?, Naona aibu kua mTanzania.
 
Tanzania haina tofauti sana na Somalia
 
  • Taarifa iwafikie NEC, Polisi Tz, Jumuiya ya Wazazi - CCM, UVCCM.
  • Incompetent wanapokuwa kwenye uongozi na tena uchaguzi; lazima watumie manguvu kwani nguvu ndio mbadala wa akili.
Sahihi...incompetence na inferiority
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…