Kenya 2022 Uchaguzi kwaa majirani zetu tangu kampeni hadi uchaguzi kuna mtu kafungwa, kutekwa, kubambikiwa kesi na hata kupigwa risasi? Je leo internet imezimwa?

Kenya 2022 General Election
  • Taarifa iwafikie NEC, Polisi Tz, Jumuiya ya Wazazi - CCM, UVCCM.
  • Incompetent wanapokuwa kwenye uongozi na tena uchaguzi; lazima watumie manguvu kwani nguvu ndio mbadala wa akili.
 
Ustaarabu unapimwa kwa mambo mengi. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu kiwango cha maendeleo ya binadamu hupimwa kwa maendeleo ya ustaarabu, utu, kuthamini uhai na ustawi wa binadamu mwenzake.

Wale tuliofatilia kuanzia mchakato wa kampeni, kupitishwa wagombea na hata leo Uchaguzi mkuu ni wazi tutasema kwa kauli moja tuna la kujifunza.

Kenya iko level nyingine kabisa ya kiwango cha siasa za kidemokrasia. Sijui majirani Uganda na Rwanda wanajifunza nini.

Itoshe kusema tu Kenya wako mbele mile 1000
Uchaguzi wa kwa majirani Kenya. Je kuna mtu kafungwa ?, kuna mtu katekwa ? Kuna mtu kakosea kujaza form na kukatwa, kuna waziri kapita bila kupingwa ?! kuna mtu kabambikiwa kesi au hata mtu kapiwa risasi ? Kuna wanajeshi wamevaa nguo za polisi na kupiga watu ?, Naona aibu kua mTanzania.
 
Tanzania haina tofauti sana na Somalia
 
  • Taarifa iwafikie NEC, Polisi Tz, Jumuiya ya Wazazi - CCM, UVCCM.
  • Incompetent wanapokuwa kwenye uongozi na tena uchaguzi; lazima watumie manguvu kwani nguvu ndio mbadala wa akili.
Sahihi...incompetence na inferiority
 
Back
Top Bottom