kwani bwashee umesikia kuna shida?Mkurugenzi wa wilaya ndiye msimamizi wa uchaguzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani bwashee umesikia kuna shida?Mkurugenzi wa wilaya ndiye msimamizi wa uchaguzi?
Kwani CDM ni nani achane upumbavu.Bila CDM kushiriki huo usiite uchaguzi bali ita upitishaji.
Sidhani mtu wemye akili timamu angefikiri hao wapinzani wangetangazwa hata kama wangeshida.