K katitu JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 3,180 Reaction score 3,295 May 17, 2021 #21 Twamo said: Mkurugenzi wa wilaya ndiye msimamizi wa uchaguzi? Click to expand... kwani bwashee umesikia kuna shida?
Twamo said: Mkurugenzi wa wilaya ndiye msimamizi wa uchaguzi? Click to expand... kwani bwashee umesikia kuna shida?
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 May 17, 2021 #22 Bila CDM kushiriki huo usiite uchaguzi bali ita upitishaji. Sidhani mtu wemye akili timamu angefikiri hao wapinzani wangetangazwa hata kama wangeshida.
Bila CDM kushiriki huo usiite uchaguzi bali ita upitishaji. Sidhani mtu wemye akili timamu angefikiri hao wapinzani wangetangazwa hata kama wangeshida.
greenwoods JF-Expert Member Joined Sep 21, 2020 Posts 2,328 Reaction score 3,955 May 17, 2021 #23 FUSO said: Bila CDM kushiriki huo usiite uchaguzi bali ita upitishaji. Sidhani mtu wemye akili timamu angefikiri hao wapinzani wangetangazwa hata kama wangeshida. Click to expand... Kwani CDM ni nani achane upumbavu.
FUSO said: Bila CDM kushiriki huo usiite uchaguzi bali ita upitishaji. Sidhani mtu wemye akili timamu angefikiri hao wapinzani wangetangazwa hata kama wangeshida. Click to expand... Kwani CDM ni nani achane upumbavu.