GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,885 Reaction score 18,636 Jul 26, 2025 #1 Awali ulipangwa kufanyika tarehe 30 October 2005, Baadae ukasogezwa mbele hadi Tarehe 14 December 2005. Hiyo ni baada ya aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chadema Kufariki, Jumbe Mohamed Jumbe. Kumbe Uchaguzi unaweza kusogezwa mbele.
Awali ulipangwa kufanyika tarehe 30 October 2005, Baadae ukasogezwa mbele hadi Tarehe 14 December 2005. Hiyo ni baada ya aliyekuwa Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chadema Kufariki, Jumbe Mohamed Jumbe. Kumbe Uchaguzi unaweza kusogezwa mbele.