Uchaguzi Mkuu 2020 ni chanzo kizuri cha mapato kwa wanasheria mwaka 2021

Uchaguzi Mkuu 2020 ni chanzo kizuri cha mapato kwa wanasheria mwaka 2021

share

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2008
Posts
6,064
Reaction score
10,468
Kutokana na ukiukwaji mkubwa wa sheria, kanuni, na taratibu za Uchaguzi Mkuu 2020 zikizowaweka madarakani wezi wa kura kwa mbinu chafu zikiweko kura feki, wanasheria mkae mkao wa kula.

Mna chanzo kizuri sana cha mapato baada ya wezi hawa kuapishwa.

Ushahidi wa wizi huu upo kila kituo, kila jimbo la uchaguzi na kila mkoa Tanganyika na Zanzibar.

Wezi nao wajiandae kutoa rushwa ya kutosha ili wachomoke.
 
Back
Top Bottom