Uchaguzi 2020 Uchaguzi Mkuu 2020

Uchaguzi 2020 Uchaguzi Mkuu 2020

huko kwenu vipi

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
1,520
Reaction score
1,462
Habarini za asubuhi wanajamvi?

Kama ambavyo vyama vya upinzani viliungana 2015 na kutengeneza neno UKAWA na hatimaye kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2015 basi kwenye uchaguzi wa 2020 wafanye hivyo hivyo.

Mwanachama aliyefukuzwa Kule CCM basi awe mgombea wao 2020 bila kujali atajiunga chama gani, itabidi wamuunge mkono.

Awe ACT, AWE CHADEMA, NCCR AWE CUF, CHAUMA AWE TLP wamuunge mkono kwa pamoja hakika watatoboa kwa asilimia Fulani.

Lakini wakiendelea na mgawanyiko huu miaka nenda rudi hawataiona IKULU MAISHA YAO YOTE.

Dhana ya kujidai chama Fulani ni bora kuliko chama kingine kiishe kabisa.

Kila chama kikithaminiwa hakika mambo yatakuwa murua kabisa.

Asubuhi njema.

Mungu utuepushe na corona
 
Nawewe unapenda mabadiliko au unafiki tuu umekujaa?
 
Mwanachama aliefukuzwa CCM hawazi kuwa mgombea wa chama chochote kile, huyu mwanachama ni mtego, vyama vya upinzani havitaki kurejea kosa la 2015
 
Sijaona sehemu umeiingiza nafsi yako katika uzi huu, hivyo na conclude kuwa ondoa pumba zako hapa
 
Back
Top Bottom